Zile ajira za walimu 13,000 zimeyeyukia wapi?

Zile ajira za walimu 13,000 zimeyeyukia wapi?

Na ninawahakikishia tukifanya kosa magu akarudi tena mafarakani km raisi na tutalimia meno.
-Sasa watu tutapigwa shaba hadharani.
-Tutatoswa baharini hadharan.
-Hatoajiri tena.
-Siasa ndio itakiwa kwaheri.
-Uchaguzi huu waweza kuwa wa mwisho kwa nchi hii.
-Mishahata haitapanda.
-Machinga wajiandae kutimuliwa mitaani.
-Wasukuma kuula zaidi kama ilivyokuwa kipindi kilichopita.
-Mashirika mengi kufa.
Biashara kuzidi kufa.
Kifupi tutajuuuta kumfahamu uyu jamaa.

Nadhan Mungu hatolaumiwa kwa yajayo kwan ni maamuzi ambayo tutakuwa tumeyafanya wenyewe.
Mwezi wa 9 serikali ilitangaza ajira zawaalimu zipatazo 13,000. Lakini mpaka sasa hakuna kitu chochote kinachoendelea Tamisemi imekumbwa na nini.

Mwenye taaarifa sahihi atujuze.
 
Watumishi wa umma tuna mda mrefu mahahara haujaongezwa tukiimuuliza unajibiwa dharau kama mshahara haukutoshi acha kazi kuna wengine wengi wako mtaaani wanatafuta kazi tuna raisi wa ajabu sana ambae tukimrudisha madarakani basi tutalimia meno
 
Jiwe alitegemea hizi ajira zimpe unafuu ktk kampeni aache kusomba watu na kutumia wasanii ktk miktano yake. Lkn matokeo yake akaona hali inazidi kuwa mbaya. Ameachana nazo. BTW hata fedha hakuna zimetukika kukodi malori
 
Daaah ni hatari sana ila raisi tulie nae hafai
 
Mchakato wa ajira tamisemi unachukuaga mda mrefu kidogo yaweza kuwa hata miezi miwili.
 
Back
Top Bottom