Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wakati gani wapinzani walikua na nguvu tangu kuanzishwa kwa vyama vingi?Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Huko kuzimu huendi kupumzika, chagua Mh Lissu kwa maendeleo yako na taifa kwa ujumlaKutokana na msoto niliopitia na ninaoendelea kuupitia mtaani, Endapo ikitokea nikapata ajira kabla ya tarehe ya uchaguzi (28/10) basi kura yangu,mama yangu, wadogo zangu na baba yangu zote kwa JPM...
Wewe uliomba?Mwezi wa 9 serikali ilitangaza ajira za waalimu zipatazo 13,000. Lakini mpaka sasa hakuna kitu chochote kinachoendelea Tamisemi imekumbwa na nini.
Mwenye taaarifa sahihi atujuze.
Usisahau 28.10Mwezi wa 9 serikali ilitangaza ajira za waalimu zipatazo 13,000. Lakini mpaka sasa hakuna kitu chochote kinachoendelea TAMISEMI imekumbwa na nini.
Zimebaki siku 4 hakuna mtumaini yeyote na uchaguzi ukishappita tusitegemee ajira kutoka serikalini.
Kwani,uongo ngapi zimetoka kwa watu hawa,huo ulikuwa wakuombea maslahi yao ,fanya kosa,baadae utajuta.Akili kumkichwa.Mwezi wa 9 serikali ilitangaza ajira za waalimu zipatazo 13,000. Lakini mpaka sasa hakuna kitu chochote kinachoendelea TAMISEMI imekumbwa na nini.
Zimebaki siku 4 hakuna mtumaini yeyote na uchaguzi ukishappita tusitegemee ajira kutoka serikalini.
daaaah inasikitisha lkn mm nayaombea yashindwe-au labda pengine ilikuwa ni longongo jazbandd
Ndugu, kama ajira hazikutolewa kwa miaka mitano ulitegemea zitolewe kwa mwezi mmoja? Mind you, Hiki ni kipindi cha uchaguziMwezi wa 9 serikali ilitangaza ajira za waalimu zipatazo 13,000. Lakini mpaka sasa hakuna kitu chochote kinachoendelea TAMISEMI imekumbwa na nini.
Zimebaki siku 4 hakuna mtumaini yeyote na uchaguzi ukishappita tusitegemee ajira kutoka serikalini.