Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahau,ilikuwa kampeni.Tujikumbushe naona mda unayoyoma
Kuwa na subira, awamu hii walimu watakula mema ya nchiMwezi wa 9 serikali ilitangaza ajira za waalimu zipatazo 13,000. Lakini mpaka sasa hakuna kitu chochote kinachoendelea TAMISEMI imekumbwa na nini.
Zimebaki siku 4 hakuna mtumaini yeyote na uchaguzi ukishappita tusitegemee ajira kutoka serikalini wakati zikiwa zinebaki siku 3 watu wapige kura vijana wa kike na wa kiume wazee, mama zetu , daa zetu tujikumbushe yafuatayo kabla hatujaenda kupiga kura
1.kikotoo cha wafanyakazi
2.maisha magumu yaliosababishwa na wao
3.wahanga wa ajira sekta zote
4.kuvurugwa kwa sekta ya kilimo mfano pamba korosho na tumbaku
5uhuru wa kujieleza na uhuru wa kupata habari
6Utawala wa kuuana na kutishiana.
Meisho turudishe Raisi wa wa wananchi na sio Raisi wa vyombo vya dola
Kama kwa miaka 5,hukujuwa kuwa viongozi wako wana elements nyingi za utapeli......sasa ndo uelewe.Duu hata kama ni spana ndo kimya mpaka leo si wangeacha tuuu kutangaza