Zile ajira za walimu 13,000 zimeyeyukia wapi?

Hivi karibuni tu.Serikali ya CCM ya vitendo.Kuweni wapole Tu.Yajayo yanafurahisha.
 
Kuwa na subira, awamu hii walimu watakula mema ya nchi
 
Duu hata kama ni spana ndo kimya mpaka leo si wangeacha tuuu kutangaza
Kama kwa miaka 5,hukujuwa kuwa viongozi wako wana elements nyingi za utapeli......sasa ndo uelewe.
 
Madikteta huwa hawasemi ukweli hata siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…