Zile kelele za Bandari zote zimeuzwa/ kapewa mwarabu zimeishia wapi?

Zile kelele za Bandari zote zimeuzwa/ kapewa mwarabu zimeishia wapi?

Lord denning hajui maana ya mauzo kwenye Modern World 😂😂
Nilikuwa Ngorongoro juzi bwashee simu yangu haikusoma karibu United Arab Emirates!

Au uuzwaji gani unausema? Maana mdau kasema hapo ameomba ushahidi hajapewa hadi saivi! Au wewe unao?🤣
 
Amani ya Bwana wetu mpendwa Yesu Kristo iwe nanyi.

Leo naomba kuwauliza wale wapotoshaji na wazandiki fc! Zile kelele za Bandari zote zimeuzwa sijui Bandari zote kapewa mwarabu zimeishia wapi?

Wale wengine WARAKA FC mbona hatusikii tena waraka wa upotoshaji na uongo ukisomwa kwenye vigango na parokia? Au leo wote hamjaenda kanisani?

Au ndo mmeshaelewa kuwa mkataba wa uwekezaji Bandarini ulikuwa unahusu Terminal 1 tu( Gati 0-4 na gati 5-7)? Ila yamewashuka mmeamua kukaa kimya kama sio nyie mliokuwa mnasema bandari zote zimeuzwa?

Au ndo ukweli umeshawafundisha adabu kuwa muache upotoshaji?

Natumai sasa mpo kwenye harakati ya kuomba tenda muwekeze bandarini Dsm gati No 8-11 maana mlikuwa mnapiga sana kelele kuwa mna uwezo wa kuwekeza kama wazawa na Serikali imeshatangaza tenda na iko wazi!

Nawasubiri na majibu yenu

Angalizo.
Sitaki matusi, nataka majibu!

Cc. FaizaFoxy The Boss
Wewe ni miongoni mwa wale mbwa?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo hujui kuwa mliitisha maandamano ya Diaspora na mkapuuzwa? Maana Diaspora wanaishi na watu wenye akili hivyo wanajua kutofautisha kati ya pumba na mchele?
Tuongelee haya ya hapa tafadhali.
 
Amani ya Bwana wetu mpendwa Yesu Kristo iwe nanyi.

Leo naomba kuwauliza wale wapotoshaji na wazandiki fc! Zile kelele za Bandari zote zimeuzwa sijui Bandari zote kapewa mwarabu zimeishia wapi?

Wale wengine WARAKA FC mbona hatusikii tena waraka wa upotoshaji na uongo ukisomwa kwenye vigango na parokia? Au leo wote hamjaenda kanisani?

Au ndo mmeshaelewa kuwa mkataba wa uwekezaji Bandarini ulikuwa unahusu Terminal 1 tu( Gati 0-4 na gati 5-7)? Ila yamewashuka mmeamua kukaa kimya kama sio nyie mliokuwa mnasema bandari zote zimeuzwa?

Au ndo ukweli umeshawafundisha adabu kuwa muache upotoshaji?

Natumai sasa mpo kwenye harakati ya kuomba tenda muwekeze bandarini Dsm gati No 8-11 maana mlikuwa mnapiga sana kelele kuwa mna uwezo wa kuwekeza kama wazawa na Serikali imeshatangaza tenda na iko wazi!

Nawasubiri na majibu yenu

Angalizo.
Sitaki matusi, nataka majibu!

Cc. FaizaFoxy The Boss
HUONI NYOMI ZA CHADEMA!?
 
Kanisani kwetu Leo padre alivoanza kusoma waraka, waumini wakaanza kusonya wengine wakaanza kutoka nje kwenda kukojoa maana waliona ni upuuzi kusikiliza porojo!!
Kwenye kanisa makini huwezi kuona kitu kama hicho. Labda huko kwenye imani yenu ambako mnagombania umiliki wa nyumba za ibada anaweza kukuta hayo unayoshudia sada hivi pale Sh.....Ubwabwa akianza mahubiri ya vitu vya kufikirika ndiyo huwa mnatoka nje.
Ogopa sana PhD zaidi ya 30 zikakaa chumba kimoja kisha kutengeneza andiko alafu ukadhani litakuwa andiko la kizembe. My friend Hii siyo dini ya majini hii.
 
Chawa wa mama Lord denning uliwahi hata mara moja kujibu hoja kwenye ule waraka wa TEC? au uliishia kutuletea habari za Escrow kama majibu yako ya kujibu hoja zile hata usikumbuke aliyekuwa kiongozi wakati wa Escrow alikuwa nani?

Ulikuwa unajidai kuupuuza ule waraka kumbe kila Jumapili ulikuwa unaenda kusomewa na kuusikiliza kwa uzuri wake, leo unafurahi waraka haujasomwa huko kwenu, kweli wewe kiumbe upo kama mdoli.
 
Back
Top Bottom