Zile kelele za Bandari zote zimeuzwa/ kapewa mwarabu zimeishia wapi?

Kuna hoja gani ya kujibiwa kwenye ile takataka?
 
Mmempa gati zilizokarabatiwa Kwa matilllion ya pesa ya mkopo ambao mlipaji ni serikali
Nenda ukaone hiyo gati 8-11 kama unaweza kuingiza hata meli ya MITA 1600, alafu ndo mnajitutumua hapa wazawa mje na nyie muwekeze.
Gati zero ilipowekwa roro yard mchina amefanya land reclaimation Kwa pesa ya mkopo, nyie mmewapa wajomba bure, sijui tumologwa na nani?
 
Takataka iliyokuweka roho juu kila ukienda Kanisani unatetemeka ikianza kusomwa!. Huna akili.

Naona umewa tag wajinga wenzio mlioshindwa kuujibu ule waraka waje kutujazia server ya JF[emoji1787][emoji1787]
Unanichukuliaje ndugu?
 
Zilikuwa mbio za sakafuni Zenye Msukumo wa njaa na wivu 🤣🤣
 
Lord Denning hapa ndipo hua nakupinga san pale watanzania wanapopinga jambo lisilo na maslahi kwa Taifa halaf wewe unasema wanapiga kelele? Pia msiseme upotoshaji bali mjibu hoja zao according to some articles. Mfano 👇👇
 
Attachments

  • 1687761662681.jpeg
    136.5 KB · Views: 1
Kwenye huo waraka pamejaa porojo hakuna hoja hata moja ya kujibu!
 
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Kanisani kwetu Leo padre alivoanza kusoma waraka, waumini wakaanza kusonya wengine wakaanza kutoka nje kwenda kukojoa maana waliona ni upuuzi kusikiliza porojo!!

Kuna hoja gani wewe hapo?
 
Hizo PhD za maaskofu ni za kusoma bibilia, PhD ya bibilia hata wewe ukikaza unaipata ndani ya mwez mmoja, halafu pia kumbukeni divai na dompo ni sawa Sawa na ziro kujumlisha sifuri, we imagine PhD 30 zipige dompo/divai halafu zikae mezani ziandike waraka, huo waraka lazima ujae porojo.
Z
 
Hoja yako namba moja majibu yake kasome kifungu cha 23 namba 1 Roman two, mkataba na makubaliano ni the same thing so IGA ni mkataba unaelezea Kwa ujumla ushirikiano wa bandari na miundombinu ya usafirishaji Ila HGA ni mkataba utaeleza eneo hususi na muda wa ukomo utawekwa kwenye mkataba wa HGA
 
Wewe kilaza umewahi kukaza[emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna wa kusimamisha, swala bandari, katiba, tunaongeza Ngorongoro,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…