Zile kelele za Bandari zote zimeuzwa/ kapewa mwarabu zimeishia wapi?

Wewe utakuwa ni wale wa dini za majini
 
Unasema ukishaini mkataba ni lazima, kwanini huo ulazima uwe wa upande mmoja, kama ni lazima taarifa apewe yeye kwanini isiwe lazima kwake kuwekeza sehemu aliyopewa taarifa? Unajua nabishana na mtu uliyeamua kupotosha kwa sababu ya political milage, lkn kiuhalisia ule mkataba upo poa na wala hauna shida yoyote ni basi tu mnatafuta sifa za kipuuzi.
 
Wamehamia kwa wa Masai, soon watahamia kwa Konde boy EP. wazee wakuruka na trend.
 
Hizo PhD si ndio zinazopitishaga Ushoga ?
 
Kanisani kwetu Leo padre alivoanza kusoma waraka, waumini wakaanza kusonya wengine wakaanza kutoka nje kwenda kukojoa maana waliona ni upuuzi kusikiliza porojo!!
Hahaha maaskofu wameumbuka vibaya, ila JK aliwaasa kuacha kuchanganya siasa na dini kwa maana dini ni imani ya kiroho na anayeongoza waumini haipendezi waumini wamtilie mashaka juu ya jambo Fulani linalohusu imani kwa sababu akitiliwa mashaka atadharaurika na waumini, ndicho kilichotokea sasa

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kwani Ngorongoro Imeuzwa?! [emoji209][emoji91][emoji23][emoji3]

Saiv wameamia ngorongoro [emoji23][emoji23][emoji23]kauli envoy ngorongoro sio gereza [emoji23][emoji23]
 
waraka unatosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…