Zile supu za jangwani siku hizi hakuna?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Wazee wa drama na senema zamani walikuwa wanagawana supu Kila baada ya mechi wakishinda. Siku hizi mbona kimya?

Kuna jamaa humu anajiita Labani og na Mwenzake ngara23 walikuwa wanakwenda na hotpots kabisa!

Injinia wafanyie wepesi watu wako angalau mkiifunga Azam wanywe supu zile ambazo semaji alisema kuwa ni VibuduzπŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜†
 
Usikariri tulipisha zoezi la serikali lile la vitumbua!, wakimaliza tunarudi tena kivyengine!
 
Usikariri tulipisha zoezi la serikali lile la vitumbua!, wakimaliza tunarudi tena kivyengine!
Au kafara hazikufua dafu mbele ya wazee wa duwah MC Alger hivyo mfadhili akaona Kila mtu akale kwake!?

πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„
 
Utakuwa na wewe ni mpenzi wa hizo supu na viporo! Mpaka umezianzishia uzi umezikumbuka mkuu!
Kiukweli Eng. afanye wepesi supu zipatikane tena
πŸ™‚
 
Actually Uzi sio Wa Msingi sana.

Lakini Zile Ng'ombe am sure zilijuwa ni Mikafara.

NJAA MBAYA SANA
 
Leo tutakunywa supu taifa punde baada ya mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…