secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Wakuu zile ziara za Rais wetu tumpendaye Samia Suluhu siku hizi zimepotelea wapi?
Hili siyo jambo la kawaida kwa Mama Samia ambaye hobby ni kukwea pipa kutembea mataifa tofauti tofauti kwa ajili ya shughuli kadha wa kadha ikiwemo kuimarisha diplomasia maana Tanzania siyo kisiwa.
Hii ndo kusema kuwa ndoto zake za kutembelea nchi nyingi duniani kama anavyofanya bongo zozo zimekufa au ataendeleza safari zake za kuimarisha diplomasia baada ya uchaguzi wa October.
Kama Kuna mtu anajua kinachomfanya raisi wetu kutofanya ziara za nje ya nchi ni nini atauambie maana diplomasia ni muhimu.