Zile ziara za nje ya nchi za rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan siku hizi zimeenda wapi?

Zile ziara za nje ya nchi za rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan siku hizi zimeenda wapi?

Nchi zimempiga marufuku kufika huko.akienda tu atakamatwa kama kuku wa mdondo maana the hague(ICC)imetoa waraka wa kumkamata ili afungwe kwa kuwateka na kuwaua wapigania haki kama vile hayati mdude au mzee kibao na wengine wengi tu.
Huu mkuu umetoka lini? japo najua tunaelekea huko
 
Mbona wanaeleweka kabisa bali ni wewe tu hujawaelewa? Iko hivi: Magufuli alipofariki, Samia na wapambe wake walisema nchi ilikuwa imejitenga na inabidi ifunguliwe. Akaanza kiguu na njia. Watu wenye weledi wakamwambia kuwa hakuna japo rais kusafiri ni jambo zuri, lakini likizidishwa sana na kufanywa kama ndiyo njia pekee ya kuleta maendeleo, siyo sawa. Wapambe wake wakasema ni kila kitu ni kupinga. Haya fast foward safari hakuna tena... wataacha kuuliza? Sisi kanuni ni ile ile, safari anatakiwa kusafi kwa kiasi.
Ok, mnataka asafiri kwa kiasi, ni kiasi gani hicho ili tuwaelewe vizr zaidi. Ni mara moja kwa mwezi au mara ngapi kwa mwaka ndo mtaridhika
 
Akipangiwa kusafiri atasafiri, hata kwamba bado baadhi ya watanzania watalalamika sana
Wamemis kumpokea uwanja wa ndege, ila kweli kapunguza zamani ,akiona kelele nyingi uyo , napendekeza kipindi ichi atafute nchi nzuri akapumzike kwanza , hii ni tiba pia kwa mambo mengi akirudi atanishukuru badae na zawadi anibebee kabisa
 
Wanataka asafiri sasa ,akafungue nchi kwa kuanza moja maana mambo sio mambo
Kwenda Ulaya ni ngumu kwasababu kajichanganya kufunga Kanisa alikua hajui kama Makanisa mengi yana wahisani wao Uko Ulaya, na Wazungu waneshajua amefunga Kanisa na Yeye ni Muislam Mara mia angekua mkristo Wazungu wasinge shtuka sana.
 
Ok, mnataka asafiri kwa kiasi, ni kiasi gani hicho ili tuwaelewe vizr zaidi. Ni mara moja kwa mwezi au mara ngapi kwa mwaka ndo mtaridhika
As frequently as needed and with reasonable entourage and cost.
 
Wamemis kumpokea uwanja wa ndege, ila kweli kapunguza zamani ,akiona kelele nyingi uyo , napendekeza kipindi ichi atafute nchi nzuri akapumzike kwanza , hii ni tiba pia kwa mambo mengi akirudi atanishukuru badae na zawadi anibebee kabisa
Mkuu hii ni mbalizi nyumbani ? Tusitafutane ila kama Mbalizi ya mbeaya ni nymbani ,ila kutafutana mwiko , mpaka Mkurugenzi wa jf atoe tamko ,na hawezi toa ,
 
Good subirini labda ipo cku mtampata Rais atakayekuwa hivyo mtakavyo nyie
Suala siyo tu kupata rais atakayekuwa hivyo bali ni kupata rais ambaye akiwa hivyo, tunaweza kumwajibisha. Tusiwekeze kwenye ''rais mkamilifu'' bali tuwekeza kwenye ''uwezo wa kumwajibisha'' anapokosea. = katiba nzuri.
 
S

Sawa endeleeni tu ipo siku mtapata hivyo vyote
 
S

Sawa endeleeni tu ipo siku mtapata hivyo vyote
Hakuna siku itakaa tupate vyote bali tutapata tunavyostahili kulingana na hali halisi. Nimeishi nchi zilizoendelea kwa miaka kadhaa na hata huko bado wananchi hawabweteki. Nikufufundishe: Wananchi wanatakiwa kuisimamia serikali muda wote kwa sababu imeundwa na wanadamu. Na sisi binadamu tuna tabia ya ku-relax tusipokuwa tunaona shinikizo. Marekani badi wanaandama. Kukosoa viongozi ni kawaida kabisa.
 
Back
Top Bottom