Ni tekno W3 Nini?Yeah hii simu natumia toka 2017 na sitauza kamwe
Ni tekno W3 Nini?Yeah hii simu natumia toka 2017 na sitauza kamwe
Mkuu Mimi ni JWTZ kabisa.Kwenda kwako JKT Tena ruvu kwa wagonjwa unasema napo jeshini, Tena kwa mujibu wa sheria
Kafie mbele huko 😂 hata ukiwa jwtz bado mapenzi yanakusumbuaMkuu Mimi ni JWTZ kabisa.
We cheza na mimi
Wakubwa wakubwa lakini haizidi tembo.Urais ni taasisi kuuuuuubwa sana, Rais ana wasaidizi wengi sana wakubwa wakubwa ambao anaweza kuwatuma kwenda kumwakilisha kwenye maeneo mbalimbali, hivyo sio lazima yeye binafsi kufanya hizo ziara.
Wewe unasema hivyo lakini si uhalisia.Kafie mbele huko 😂 hata ukiwa jwtz bado mapenzi yanakusumbua
Division foo hajambo?Wewe unasema hivyo lakini si uhalisia.
Kuna Uzi nimeona wanasema kuna tetesi anataka kujichnganya aende Kenya 😂 😂 😂 😂Wakuu zile ziara za Rais wetu tumpendaye Samia Suluhu siku hizi zimepotelea wapi?
Hili siyo jambo la kawaida kwa Mama Samia ambaye hobby ni kukwea pipa kutembea mataifa tofauti tofauti kwa ajili ya shughuli kadha wa kadha ikiwemo kuimarisha diplomasia maana Tanzania siyo kisiwa.
Hii ndo kusema kuwa ndoto zake za kutembelea nchi nyingi duniani kama anavyofanya bongo zozo zimekufa au ataendeleza safari zake za kuimarisha diplomasia baada ya uchaguzi wa October.
Kama Kuna mtu anajua kinachomfanya raisi wetu kutofanya ziara za nje ya nchi ni nini atauambie maana diplomasia ni muhimu.
Ilikuwa honeymoon ya kiti.Wakuu zile ziara za Rais wetu tumpendaye Samia Suluhu siku hizi zimepotelea wapi?
Hili siyo jambo la kawaida kwa Mama Samia ambaye hobby ni kukwea pipa kutembea mataifa tofauti tofauti kwa ajili ya shughuli kadha wa kadha ikiwemo kuimarisha diplomasia maana Tanzania siyo kisiwa.
Hii ndo kusema kuwa ndoto zake za kutembelea nchi nyingi duniani kama anavyofanya bongo zozo zimekufa au ataendeleza safari zake za kuimarisha diplomasia baada ya uchaguzi wa October.
Kama Kuna mtu anajua kinachomfanya raisi wetu kutofanya ziara za nje ya nchi ni nini atauambie maana diplomasia ni muhimu.
Yuko Bomba anajikoki kuja na ile ID ya Bichwa komweDivision foo hajambo?
Namhurumia sana.Kuna Uzi nimeona wanasema kuna tetesi anataka kujichnganya aende Kenya 😂 😂 😂 😂
Akisafiri mnanuna, asiposafiri mnanuna, what’s wrong with you people 😄😄! October tunatick!Wakuu zile ziara za Rais wetu tumpendaye Samia Suluhu siku hizi zimepotelea wapi?
Hili siyo jambo la kawaida kwa Mama Samia ambaye hobby ni kukwea pipa kutembea mataifa tofauti tofauti kwa ajili ya shughuli kadha wa kadha ikiwemo kuimarisha diplomasia maana Tanzania siyo kisiwa.
Hii ndo kusema kuwa ndoto zake za kutembelea nchi nyingi duniani kama anavyofanya bongo zozo zimekufa au ataendeleza safari zake za kuimarisha diplomasia baada ya uchaguzi wa October.
Kama Kuna mtu anajua kinachomfanya raisi wetu kutofanya ziara za nje ya nchi ni nini atauambie maana diplomasia ni muhimu.
AhahahaIlikuwa honeymoon ya kiti.
Saivi ametulia anapambana na maendeleo ya watu na vitu.
HahahaAkisafiri mnanuna, asiposafiri mnanuna, what’s wrong with you people 😄😄, get life! October tunatick!
Mbona wanaeleweka kabisa bali ni wewe tu hujawaelewa? Iko hivi: Magufuli alipofariki, Samia na wapambe wake walisema nchi ilikuwa imejitenga na inabidi ifunguliwe. Akaanza kiguu na njia. Watu wenye weledi wakamwambia kuwa hakuna japo rais kusafiri ni jambo zuri, lakini likizidishwa sana na kufanywa kama ndiyo njia pekee ya kuleta maendeleo, siyo sawa. Wapambe wake wakasema ni kila kitu ni kupinga. Haya fast foward safari hakuna tena... wataacha kuuliza? Sisi kanuni ni ile ile, safari anatakiwa kusafi kwa kiasi.Hata hamweleweki nyie.
Akisafiri mnaandamana mitandaoni makele kama yote. Mara oooh Vasco da Gama.
Asiposafiri mnakonda tena.
Hivi ya NRNE mshamaliza?
HahahaYuko Bomba anajikoki kuja na ile ID ya Bichwa komwe
Ile ilikuwa changamsha genge. Na wewe kweli unaaamini Gwajima yupo kwa ajili ya wananchi ?Hajatukia mkuu, mbona alikuwa anajibu mapigo ya gwajima
Hahaha 😂🤣😂Ile ilikuwa changamsha genge. Na wewe kweli unaaamini Gwajima yupo kwa ajili ya wananchi ?