min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Ukwasi hauwezi kuonyesha thamani ya pumzi yangu hapa duniani bwasheeHahaha 😂🤣, haya mkuu inatosha usije ukanionesha ukwasi wako nikajiona sina thamani duniani 😀.
Ukwasi hauwezi kuonyesha thamani ya pumzi yangu hapa duniani bwasheeHahaha 😂🤣, haya mkuu inatosha usije ukanionesha ukwasi wako nikajiona sina thamani duniani 😀.
Bwashee sorry 😔.Ukwasi hauwezi kuonyesha thamani ya pumzi yangu hapa duniani bwashee
Mhmm mbona upo kawaida tu master?Bwashee sorry 😔.
Niko chini ya miguu yako.
Master umeshanichapa kwa uchumi wako ujue 😀.Mhmm mbona upo kawaida tu master?
Sina uchumi wa kuchapa mtu humu zaidi ya kuzichapa biaMaster umeshanichapa kwa uchumi wako ujue 😀.
Genz wanamuhitaji pale Kenya majirani zetu wema akasalimie mana kitambo ssHata hamweleweki nyie.
Akisafiri mnaandamana mitandaoni makele kama yote. Mara oooh Vasco da Gama.
Asiposafiri mnakonda tena.
Hivi ya NRNE mshamaliza?
Ahahaha 😅.Sina uchumi wa kuchapa mtu humu zaidi ya kuzichapa bia
Mbinguni wanadai vyombo vipo bwasheeAhahaha 😅.
Mbinguni hakuna bia ndo maana hata mimi pamoja na uchumi wangu duni nijitutumua kuzichapa.
Kule mbinguni labda kwenye ule upande ambao waumini wa RC wanakaa ila Kwa upande wa Muslim na walokole hutasikia neno pombe.Mbinguni wanadai vyombo vipo bwashee
Waislam kuna vyombo walokole wao ni motoni tu wanazagamuana vibaya sanaKule mbinguni labda kwenye ule upande ambao waumini wa RC wanakaa ila Kwa upande wa Muslim na walokole hutasikia neno pombe.
Kwa upande wa sabato hata soda hupati.
Nasikia wakatoliki hawaendi mbinguni wala motoni bali wanaelea elea kwenye sehemu iitwayo toharani kwa sababu hata wakiwa duniani hawaeleweki.Waislam kuna vyombo walokole wao ni motoni tu wanazagamuana vibaya sana
Alikuwa ana TANGA TANGA TU.Wakuu zile ziara za Rais wetu tumpendaye Samia Suluhu siku hizi zimepotelea wapi?
Hili siyo jambo la kawaida kwa Mama Samia ambaye hobby ni kukwea pipa kutembea mataifa tofauti tofauti kwa ajili ya shughuli kadha wa kadha ikiwemo kuimarisha diplomasia maana Tanzania siyo kisiwa.
Hii ndo kusema kuwa ndoto zake za kutembelea nchi nyingi duniani kama anavyofanya bongo zozo zimekufa au ataendeleza safari zake za kuimarisha diplomasia baada ya uchaguzi wa October.
Kama Kuna mtu anajua kinachomfanya raisi wetu kutofanya ziara za nje ya nchi ni nini atauambie maana diplomasia ni muhimu.
Koma kutaja ukatoliki ukitaka attention humu, ashuo 😏Nasikia wakatoliki hawaendi mbinguni wala motoni bali wanaelea elea kwenye sehemu iitwayo toharani kwa sababu hata wakiwa duniani hawaeleweki.
Cc Monetary doctor
Nyinyi wala mbuzi katoliki nyinyi 😀Koma kutaja ukatoliki ukitaka attention humu, ashuo 😏
Komaa km ulivyo tongozwa na tundazuriNyinyi wala mbuzi katoliki nyinyi 😀