Zile ziara za nje ya nchi za rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan siku hizi zimeenda wapi?

Zile ziara za nje ya nchi za rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan siku hizi zimeenda wapi?

Niko njaa,

Hata siwezi karanga,

Hohehahe shagala bagala

Niko tayari kulipa gharama,

Sitakubali maovu ikitawala.

Ufisadi, ubinafsi ukabila,

wapuuza sera watakipata Cha moto,

Undugu ni kufaana,

Sitasimama maovu yakitawala,
Duh, nakumbuka nilipowa JWTZ tilikuwa tunaimba hili goma. Lilikuwa la kizalendo haswa.
 
Diplomasia imeshaimarika. Sasa tunajenga taifa letu.
Diplomasia gani imeimarka wakati raisi wetu anatukanwa na generation Z wa Kenya.
Halafu nyinyi ndio wale mnaomshauri vibaya raisi wetu, hebu acheni hiyo plizzz.
 
Diplomasia gani imeimarka wakati raisi wetu anatukanwa na generation Z wa Kenya.
Halafu nyinyi ndio wale mnaomshauri vibaya raisi wetu, hebu acheni hiyo plizzz.
HAo vijana wahuni wa Kenya nani anawazingatia?
 
Mama sasa hivi anaogopa kwenda Kenya kisa vijana wale ujue!
A man’s downfall is rarely caused by his enemies. It’s caused by his inability to sit in a room alone, without validation, without noise, with only his thoughts. Master that silence, and no opponent can ever truly own you.
 
Wakuu zile ziara za Rais wetu tumpendaye Samia Suluhu siku hizi zimepotelea wapi?

Hili siyo jambo la kawaida kwa Mama Samia ambaye hobby ni kukwea pipa kutembea mataifa tofauti tofauti kwa ajili ya shughuli kadha wa kadha ikiwemo kuimarisha diplomasia maana Tanzania siyo kisiwa.

Hii ndo kusema kuwa ndoto zake za kutembelea nchi nyingi duniani kama anavyofanya bongo zozo zimekufa au ataendeleza safari zake za kuimarisha diplomasia baada ya uchaguzi wa October.

Kama Kuna mtu anajua kinachomfanya raisi wetu kutofanya ziara za nje ya nchi ni nini atauambie maana diplomasia ni muhimu.
We bwege nenda kaulize Ikulu. Hv unafikiri Rais wa nchi ni km hao shangazi zako huko mtaani kwenu? Mbwa koko ww!
 
We bwege nenda kaulize Ikulu. Hv unafikiri Rais wa nchi ni km hao shangazi zako huko mtaani kwenu? Mbwa koko ww!
Ku kumanyoko Kila siku nakuvumilia lakini leo ngoja nikuoneshe kazi.

Hebu toka hapa na uchafu wako, nenda kalambe mavuzi ya wanaume.
 
A man’s downfall is rarely caused by his enemies. It’s caused by his inability to sit in a room alone, without validation, without noise, with only his thoughts. Master that silence, and no opponent can ever truly own you.
Hajatukia mkuu, mbona alikuwa anajibu mapigo ya gwajima
 
Back
Top Bottom