secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Mkuu kwenye simu yako ukiandika neno diwani linatokea neno Rais siku hizi?Raisi ni mmoja tu nae ni Dennis Robert Shughuru
Yeah hii simu natumia toka 2017 na sitauza kamweMkuu kwenye simu yako ukiandika neno diwani linatokea neno Rais siku hizi?
Kama ndivyo basi uza hiyo simu maana unaweza ukafanya kitu Cha ajabu π .
The Hague wameshatoa tamko kwani?Nchi zimempiga marufuku kufika huko.akienda tu atakamatwa kama kuku wa mdondo maana the hague(ICC)imetoa waraka wa kumkamata ili afungwe kwa kuwateka na kuwaua wapigania haki kama vile hayati mdude au mzee kibao na wengine wengi tu.
Hata hamweleweki nyie.Wakuu zile ziara za Rais wetu tumpendaye Samia Suluhu siku hizi zimepotelea wapi?
Hili siyo jambo la kawaida kwa Mama Samia ambaye hobby ni kukwea pipa kutembea mataifa tofauti tofauti kwa ajili ya shughuli kadha wa kadha ikiwemo kuimarisha diplomasia maana Tanzania siyo kisiwa.
Hii ndo kusema kuwa ndoto zake za kutembelea nchi nyingi duniani kama anavyofanya bongo zozo zimekufa au ataendeleza safari zake za kuimarisha diplomasia baada ya uchaguzi wa October.
Kama Kuna mtu anajua kinachomfanya raisi wetu kutofanya ziara za nje ya nchi ni nini atauambie maana diplomasia ni muhimu.
Siku akienda huko urudi hapa kukanusha uzushi wakoNchi zimempiga marufuku kufika huko.akienda tu atakamatwa kama kuku wa mdondo maana the hague(ICC)imetoa waraka wa kumkamata ili afungwe kwa kuwateka na kuwaua wapigania haki kama vile hayati mdude au mzee kibao na wengine wengi tu.
Haya, no reforms no election πHata hamweleweki nyie.
Akisafiri mnaandamana mitandaoni makele kama yote. Mara oooh Vasco da Gama.
Asiposafiri mnakonda tena.
Hivi ya NRNE mshamaliza?
Mpe kijana wako akaitumie, au umesahau password ya JF.Yeah hii simu natumia toka 2017 na sitauza kamwe
Hakuna cha password wewe utakua umenunua simu mpya leo nawajua nyieMpe kijana wako akaitumie, au umesahau password ya JF.
Mkuu hii simu yangu ni ya zamani sana halafu ni smart kitochi.Hakuna cha password wewe utakua umenunua simu mpya leo nawajua nyie
Pombe zangu zinaniingizia pesa bwashee , achana nazo kabisa .Mkuu hii simu yangu ni ya zamani sana halafu ni smart kitochi.
Mkuu hizo pombe zako hizo!!!
Haya, ila siku ukihatibikiwa usije humu na hii ID kuomba msaada wa matibabu.Pombe zangu zinaniingizia pesa bwashee , achana nazo kabisa .
Chamila anapenda sana kusema "hela ya mama".
SimiyuWakuu zile ziara za Rais wetu tumpendaye Samia Suluhu siku hizi zimepotelea wapi?
Hili siyo jambo la kawaida kwa Mama Samia ambaye hobby ni kukwea pipa kutembea mataifa tofauti tofauti kwa ajili ya shughuli kadha wa kadha ikiwemo kuimarisha diplomasia maana Tanzania siyo kisiwa.
Hii ndo kusema kuwa ndoto zake za kutembelea nchi nyingi duniani kama anavyofanya bongo zozo zimekufa au ataendeleza safari zake za kuimarisha diplomasia baada ya uchaguzi wa October.
Kama Kuna mtu anajua kinachomfanya raisi wetu kutofanya ziara za nje ya nchi ni nini atauambie maana diplomasia ni muhimu.
Yani mimi nije kuomba msaada wa matibabu kwako na humu? Wewe una utani sana nafikiri ni kwa sababu hatujuani tu na sio vinginevyo π€Haya, ila siku ukihatibikiwa usije humu na hii ID kuomba msaada wa matibabu.
Hahaha ππ€£, haya mkuu inatosha usije ukanionesha ukwasi wako nikajiona sina thamani duniani π.Yani mimi nije kuomba msaada wa matibabu kwako na humu? Wewe una utani sana nafikiri ni kwa sababu hatujuani tu na sio vinginevyo π€