Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #21
Puti...Shukurani sana mzee wetu kwa historia nzuri ya maisha yenu ambayo ni funzo kwetu ss vijana wadogo. Kweli mliutumia ujana wenu na uzee wenu vzr na kuishi katika maelewano na ushirika mzuri na ni furaha pia kuishi na kuona uzee wenu baadhi yenu na inakuwa inawakumbusha mbali kila mkifikiria mambo makubwa mliyo wahi kuyafanya, Mara nyingine nikisoma historia kama hizi inanikumbusha jinsi muhhamed Ali alivyo enda hospital kumuona the smoking Joe baada ya maongezi ya hapa na pale Ali alimuaga Joe wakati anaondoka Joe akamuita , hey champ Ali akamjibu yes Joe , Joe akarusha ngumi hewani akisema this one for you champ, Ali akatabasamu na kusema bye Joe . nikisoma stori kama hizi nami nawaza kama ss nasi tutafika uzeeni kama hivi na kuyakumbuka mengi tuliyoyafanya ujanani na marafiki zetu wa ujana wetu, be blessed mzee.
Zawadi hii kutoka kwangu:
Hiyo picha ya Ali na Frazier imetundikwa hapo Guy Madison
Square Garden New York
Umesoma autobiography ya Ali: ''Muhammad Ali My Own Story?''