ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

Mwenye nyimbo ya university corner inaitwa vumilia naomba aweke humu tafadhari
 
Maombi ya kutaka turudiane nimesikia unalalamikaaa. maisha kuishi na wanangu etii huyawezi.kurudiana na wewe siweez , nimeoa mke mwingine ninaishi naye.
Naitafuta hiyo nyimbo mkuu.
Pia penzi kizungumkuti
Wimbo wa sikinde huo, ninayo ila jinsi ya kuiweka hapa, nawe ukaipata siwezi.
 
Kuna nyimbo kashirikishwa Nuruel na mdada mmoja hiv inaitwa Nenda. Ntashukuru sana nikiipata

Pia Maria ya Mad Ice, naitafuta sana
 
Mkuu weka nyimbo ya Monisandesa hapa, unaitwa shida haibishi hodi, wimbo wa vijana, mama ninapokula anisema, na wanaupendana siku zote hufa wangali vijana (Chiku). Kuna wimbo wa Banza Stone, siujui jina ila kuna sehemu anaimba: siku ya kufa kwake atamuomba Mungu apate kuwasikia watu wanasema nini kuhusu kifo chake. wimbo kiyongo band siikumbuki.
 
Mimi naomba mwenye wimbo wa caz t mwana wa komba mmoja unaitwa Lekambuke na mwingine waitwa nakupenda
 
Kuna wimbo wa karunde band inaitwa JULI nitaupataje mkuu
 
Mkuu kitu unachofanya ni kosa kisheria. Umekiuka sheria ya Hakimiliki. Hata wanao-download hizo nyimbo wanafanya makosa. Wanawanyima watunzi, wanamuziki na wamiliki wa nyimbo hizo fursa ya kujipatia kipato kupitia kazi zao. Najaribu kuelemisha tu, angalau tutambue kuwa kinachofanyika ni kosa. Labda unihakikishie kuwa wenye nyimbo hizo wamekupa leseni ya kufanya hivyo.
 
Acha z

Acha hizo wewe, ungeanza na wale wanauza nyimbo kwenye computer, hapa sisi tunapeana kama wanafamilia tu, asie mwana forums anapataje nyimbo hizi.
 
  • Thanks
Reactions: OTG
Back
Top Bottom