ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

Hawa hapa mamii...

Nakupa na Bonus ya Mzee Makassy

Ddc mlimani park,Maquiz orginal na maquiz du zaire,Marigani rajaɓ ɓaɓa ƴa mziki.Quɓain malimɓa na moro juzz,T.P.OK JUZZ ƴa fraco Luanzo Luambo makiadi eeeɓuana da kweli zilipendwa
 
Club gani sasa? Enzi hizo hakuna club kama hizi zenu hivi sasa...
Aseeh. Ama kweli tumefaidi..

vilikuwa viwanja kama mnazi mmoja tu..

Kuna mzee mmoja huwa ananipigia hizi story sema naye mtia chumvi utamskia enzi zangu margot na pale mnazi tukiwa na papa miki na Ahmad kipande wa jazz sikamatiki.

Haya bhana Wahenga.
 
Pale Magoti palikuwa chimbo la kwenda kuokota dada poa.... LOL
 
Mkuu Asprin ilikuwa raha ukisikia wimbo kutoka naquiz original unasema karuɓandika ,ukija naquiz du zaire kunawimɓo unaitwa kasongo ilikuwa raha.Pale Juwata kuna wimbo unaitwa Msafiri kafiri eeeheee eɓwana wee
 
Mkuu mimi sio Mhenga mwenzenu mimi nimeanza kuwasikiliza kina Saleh Jabri.
 
Hizi zikipigwa hata leo bado zinavutia... Lakini piga wimbo wa DuduBaya "Nakupenda tu jinsi ulivyo" uone kama utakuwa na hamu ya kuusikiliza...
 
Mkuu mimi sio Mhenga mwenzenu mimi nimeanza kuwasikiliza kina Saleh Jabri.
Jamaa sijui alifia wapi... alileta mapinduzi ya bongo fleva kwa kuweka lugha ya kiswahili kwenye miziki ya mamtoni.
 
Wazee hukumbuka!

Enzi zetu wahenga kulikuwa na burudani za kipekee (unique entertainment)
Zama hizi wimbo ukishatamba for one month unatupwa na kusahauliwa.

Old is Diamond....ah sorry Old is Gold.
 
Jamaa sijui alifia wapi... alileta mapinduzi ya bongo fleva kwa kuweka lugha ya kiswahili kwenye miziki ya mamtoni.
Bila kumsahau Adili kumbuka wa kwanza unit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…