Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Hahahaha babuu umenikumbusha enzi za vijana social hall pale mwanzo wa barabara ya kwenda mwananyamala.
Niliokuwa nawahusudu enzi hizo ni ;
. Moshi William, Eddy Sheggy na Kitime. Hapo umemsahau Maneti na Chidumule. Basi hapo aaah nayarudi hadi majogoooo. Hivi kumbe kupopo nilianza zamani eeeh.
Bila kumsahau solo wao Kida Waziri. Asante kwa zilipendwa babuu.
Hawa hapa mamii...
Nakupa na Bonus ya Mzee Makassy