ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao


mpenzi luta naipenda sana
 
Wakuu habari zenu kuna wimbo nautafuta sana nimejitahidi kadri ya uwezo wangu ila nmeshindwa huo wimbo ameimba Patcho mwamba ft tarsis masela na butamu baadhi ya mashairi yanasena "simama imara kama simba maneno ya watu yasikutishe kenedi otieno nahitaji msaada
 
Msaada,kuna nyimbo naitafuta ila sijui kaimba nan na inaitwaje ila nakumbuk baadhi ya mashair yake km,
[emoji444]Ipo siikuuu_ mpenzi maua.
Nitakuja kwa wazazi wakoo_mpenzi upepoo.

Sina neno mm,kwakua najua,huyo n mzazi mwenzio mpenzi mauaaaa[emoji444]
 
Neema..DDC Mlimani Park
 
Msaaada , nashindwa kuamua kati ya sportify,audiomack,soundcloud na boomplay ipi itakua best kwa miziki ya bongo na nje ya bongo
 
Nazitafuta hii taarabu yenye baadhi ya maneno,,"Na hili pia kaseme acha kujishauaΓ—2,Lile lilompa kideku maungoni likakufikia aaah,umeumepanda umeshuka kwangu hukuona ndaniiii.
Mwenye nayo anisaidie ikiwezekana album nzima.
Pili dar morden taarabu-vijimambo nahita full album.
Natanguliza shukrani.
 
Mkuu naomba uniwekee wimbo wa "WIFI TWENDE NYUMBANI" Ulioimbwa na kaka Tancut Almasi. Natanguliza shukran kwa yeyote atakaeniwekea wimbo huo πŸ™
 
Balantanda nakosa meeeengi.
 
Upo humu...Angalia page ya 7 ya thread hii...Uliwekwa tangu mwaka 2012.
Mkuu Balantanda nashukur sana kwa jibu lako, ila nilichokuwa naomba uniwekee japo link ya video au audio ya kuusikiliza kwa sauti. Ubarikiwe sana mkuu wangu πŸ™
 
Mkuu Balantanda nashukur sana kwa jibu lako, ila nilichokuwa naomba uniwekee japo link ya video au audio ya kuusikiliza kwa sauti. Ubarikiwe sana mkuu wangu πŸ™
Usikilize hapa

 
Hiyo band ilikuwa inaitwa Tancut Almasi ikiwa inamulikiwa na kiwanda cha kukata Alimasi kilichokuwa Iringa.
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi wako, Mungu akubariki sana wewe na kizazi chako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…