ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

Daaaaaaaaaah shukran saaaana ndg yanguu
Nyimbo nimeitafuta saaana
Nashukuru saaaana
Inanikumbusha marehemu Mzee wangu daaaaaaaaaah aiseeee
 
Daaaaaaaaaah shukran saaaana ndg yanguu
Nyimbo nimeitafuta saaana
Nashukuru saaaana
Inanikumbusha marehemu Mzee wangu daaaaaaaaaah aiseeee
 
Kama Kuna mtu kaupata huo wimbo nikuulizapo Jambo huja juu, huja juu mpenzi wangu wee, hata majembe hutokea wakati Fulani hugongana
Wimbo huu waliimba Ottu jazz band mwishoooooooni miaka ya 90
Nami nauhitaji huu
 
Unitesa, Unaniumiza, Unananichoma, Mkuki Moyo - Safari Trippers


View: https://m.youtube.com/watch?v=YnS4Xbl3zkw&pp=ygUMbWt1a2kgbW95b25pSource : Power Nguzo

Inasemekana ngoma hii kali itoka mwaka 1973 hivyo mwaka 2024 tayari unatimiza miaka 50.

Zaidi ya santuri 10,000 zilitengenezwa kwa ibao hiki cha Mkuki Moyoni mwaka 1973. Imagine kizazi hiki ukichanganya platform zote za muziki jamaa hawa wangekuwa bendi tajiri katika viwango vya ubilionea...


Video : The Safari Trippers Band : by courtesy of Vuli Yeni based in South Africa
 
Mwenye kuujua huu wimbo wakuu
 

Attachments

  • 4_5910237417226372496.mp4
    2.4 MB
J
VULI YENI'S MUSIC JOURNEY FROM DAR ES SALAAM TANZANIA TO THE WIDER WORLD

INTERVIEW AT MABOPANE COMMUNITY RADIO STATION

Source : Vuli Yeni

(Clockwise from top left) (a) Ninny Chitja with Patrick Balisidya; (b) Lindi Yeni with Afro-70, Temeke Stereo Bar, 1970; (c) Mabitozi Vuli Yeni (left) and popular DJ Salum 'Choge Sly' Mrisho sporting bugalu and a 'Jackson 5' hat, posing at a photographic studio, 1975; (d) Ninny Chitja with Shabby Mbottoni on bass guitar. Sources: Photographs (a), (b) and (d) appear courtesy of Freedom Balisidya; photograph (c) appears courtesy of Vuli Yeni​

 

The Revolutions, Kilimanjaro Hotel, Dar es Salaam, 1979. Left to right: Mohammed Mrisho (guitar), Hemedi Chuki (lead vocals), Vuli Yeni (organ), Ibrahim Mtumwa (drums) and Joe 'Ball' Ribeiro (bass guitar). Source: Photograph courtesy of Vuli Yeni.​

 
Mwanamuziki wa kitanzania aandika vitabu viwili katika lugha ya Kiswahili na English kuweka historia wa muziki wa bendi maarufu

KITABU : THE WANYIKA BANDS FROM SIMBA WANYIKA TO LES WANYIKA AND ALL EAST AFRICAN BANDS


View: https://m.youtube.com/watch?v=NGEJLjxQhD0
Abuu Omari mwanamuziki afanya research ya kina kuhusu bendi za muziki na kuweka kumbukumbu za historia sawa ikiwemo yeye pia akiwa na magwiji wengine, sumulizi za maandishi sahihu zitakazoishi kwa vizazi vyote vya wafuatiliaji muziki ...
 
Nilikuwa nautafuta huu. Nafurahi nimeupata kwa msaada wa haya mashairi. Ahsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…