Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikupeee nikupee nini mpenziii...aaah ule wimbo komesha sanaaMwenye wimbo wa Mandojo na domokaya- Ni kitu gani hasa, nautaka sana
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hapo alikuwa anazungumziwa mzee wa kazi Bitchuka baada ya kulaghaiwa na boss wa OSS.Aliwahi mwalika chidumule studio kipindi hicho akiwa redio Uhuru Masoud.
Chidumule alisema Kuna kundi lilitoka sikinde kwenda OSS,wakaahidiwa Mambo meengi mwisho wa siku hakuna walichopata,wakampiga vijembe boss wao wakamtungia wimbo,Home imenizidi-OSS.
Moja ya mstari uliosikika kwenye huo wimbo,,,ndugu zangu mlioolewa mjihadhari na wadanganyifu msiachane na wanaume zenu nawaambia.
Huku sikinde na chidumule wakawaimbia wimbo wenzao,,,,mtoto akililia wembe mpe.
Moja ya mistari yake inasema,,,hakuna nyumba Wala kibanda ulichoambulia,pole dada uliyataka mwenyewe.
Hawa ni mafiki zolo tupo nao hapa Kaburu mkuu.Mwenye anafaham jina la hii mp3/beat anisaidie, Na kama unayo full ukaitupia hapa itakua makini zaidi. View attachment 2665908
Mkuu nenda YouTube utaupata.Mwenye wimbo wa Mandojo na domokaya- Ni kitu gani hasa, nautaka sana
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
R.i.P Classmate...😪UPumzike kwa Amani Hussein Jumbe
Mwenye nyimbo
1/Hali ngumu wa marquis original
2/Umempata wa kukutunza ni heri uishi nae wa MCA international
3/Duniani kuna mambo wa Dekula kahanga vumbii
4/ Baba Jenn wa Bantu group
Natanguliza shukran