Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teyari mkuu hii >>>> HAPA <<<<<fanya ivyo..
Mkuu nahitaji ule wimbo wa nimekusamehe lkn sitokusahau wanaupigaga redio free kwenye kipindi chao cha sitosahau.Amani Iwe nanyi wakuu,
Baada ya Kuteseka na Kuhangaika huku na kule mitandaoni nikitafuta ni wapi nitapata Ku-download ngoma zote za hapo kitambo na kukosa, basi nimeona nifungue Blog yangu ZILIPENDWA ambapo kila muda naweka Nyimbo mbali mbali zilizowahi kuwika hapa Barani Africa. Nyumbani ndio kwa Sana.
Hivyo basi wale wadau wote wa Muziki wa Kale Tukutane >>> HAPA <<<
Wadau wote wa KILWA JAZZ, MSONDO, JUWATA, SUPER RAINBOW, TABORA JAZZ, SUPER MATEMBELE, IN AFRICA, MASHROOM, LESS WANYIK/SIMBA WA NYIKA nk BOFYA >>> HAPA twende Pamoja.
Shukran.
Msondo zipo kaka na hizo nyingine nazidi Kuzipakia, Kwanzia Mshenga Namba moja hadi Mbili mpaka Shakaza utazipataHongera sana ila sijaziona za Saboso, Msondo Nambari moja Mpaka Tano, Mganga Nmba Moja na Mbili za Jamhuri Jazz na Nimuokoe Nani ya Msondo Ngoma
Ipi hiyo au ile ya Hamza Kalala?Mkuu nahitaji ule wimbo wa nimekusamehe lkn sitokusahau wanaupigaga redio free kwenye kipindi chao cha sitosahau.
Yaa mkuu, nitafurahi sana mkuu wanguIpi hiyo au ile ya Hamza Kalala?
Hongera sana kwa ubunifu mkuuIpi hiyo au ile ya Hamza Kalala?
Mi pia naitafuta sio hamzaIpi hiyo au ile ya Hamza Kalala?
Okey wacha nikupe soonYaa mkuu, nitafurahi sana mkuu wangu
Nani kaimba hiyo Mkuu maana ambayo ninayo hapa ni Ile ya Hamza KalaMi pia naitafuta sio hamza
Sawa mkuu wangu, naisubiri kwa hamu kubwaOkey wacha nikupe soon
Mkuu asante sana kwa uzi huu. Kuna nyimbo moja ya Tx Moshi inaitwa Ashbahi naweza ipata pia?Amani Iwe nanyi wakuu,
Baada ya Kuteseka na Kuhangaika huku na kule mitandaoni nikitafuta ni wapi nitapata Ku-download ngoma zote za hapo kitambo na kukosa, basi nimeona nifungue Blog yangu ZILIPENDWA ambapo kila muda naweka Nyimbo mbali mbali zilizowahi kuwika hapa Barani Africa. Nyumbani ndio kwa Sana.
Hivyo basi wale wadau wote wa Muziki wa Kale Tukutane >>> HAPA <<<
Wadau wote wa KILWA JAZZ, MSONDO, JUWATA, SUPER RAINBOW, TABORA JAZZ, SUPER MATEMBELE, IN AFRICA, MASHROOM, LESS WANYIK/SIMBA WA NYIKA nk BOFYA >>> HAPA twende Pamoja.
Shukran.
nimeiona itakuwa yenyewe ila ilifanyiwa cover,shukrani.Nani kaimba hiyo Mkuu maana ambayo ninayo hapa ni Ile ya Hamza Kala
Hiii hapa Mkuu embu icheki kama ndio yenyewe >>>> Bofya hapa<<<Sawa mkuu wangu, naisubiri kwa hamu kubwa
Yenyewe hii nlonayo ni Remix ambapo Kaimba Hamza Kalala na Mtoto Wake Kalala Jrnimeiona itakuwa yenyewe ila ilifanyiwa cover,shukrani.
Daah Mkuu kwakweli sijaitambua Bado ngoja wadau watakupa Title na Mwimbaji then tuone ni kwa namna gani vipi utaweza ipata.Kuna ile nyimbo
"Utalia utaliaa usinione
Utanikumbuka utanikumbuka usinione"
Ni ya Kundi gan vile
Mkuu Tusubiri wakongwe waje kutupatia usijali utazipataMsaada nyimbo za Justini kalikawe , Emanuel Nkulila