Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 958
- 831
Kwa Adroid Users wote inadownload iOS ndio haiwezekan. Tumia Chrome mkuuKwa mobile..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Adroid Users wote inadownload iOS ndio haiwezekan. Tumia Chrome mkuuKwa mobile..
Mkuu wangu wimbo, nimeungalia kwenye memory card, sijauona, nadhani upo kwenye frash, nitautoa kwenye frash, niuweke kwenye memory card ili nikurushie.0766728326. WhatsApp mkuu
duh! TunatishanaWewe pia ni mhanga-hujui utendalo. Ndo maana mimi nimetoa elimu, sijakulaumu. Nitajibu hoja zako kama ifuatavyo:
Mwisho nikushauri kwamba hapa tunaelimishana tu ili watoto wetu waje kuthamini kazi za sanaa na kufaidika nazo maana ni fursa kubwa sana za ajira. Itapendeza tukifika mahali tukalinda kazi za wasanii wetu na wa nje kama wanavyofanya Kenya na Nigeria ambako wanamuziki wanalipwa kwa kazi zao kupigwa ktk TV na redio. Leo Diamond anaenda Kenya kuchukua hela yake kwa sababu serikali ya Kenya inajitahidi kulinda kazi za wasanii.
- Sheria ya Hakimiliki ipo na inasimamiwa kwa kiasi cha kuridhisha na BASATA. Mfano mzuri ni Mwinjuma Muumini ambaye ktk mahojiano fulani miaka kama 3 iliyopita alikiri kupokea kama laki 5 kila baada ya miezi 3 kutoka kwa wasambazaji wa kazi zake. Wasambazaji wanamlipa kwa sababu kuna watu wananunua kazi za wasanii-kumbuka Muumini ana miaka kadhaa hajarekodi nyimbo mpya. Wewe ukitoa bure, nani atanunua? BASATA wapo, na kama hawajakushughulikia basi shukuru Mungu.
- Kuhusu nyimbo kuwepo kwenye servers, hii hoja ni sawa na kujitetea kuwa wewe umeiba kwa sababu John na Halima pia wameiba. Ikifika wakati wa kuwajibishwa unawajibishwa wewe kama wewe. Huo utetezi ni butu. Nikiri kuwa kua pirated works nyingi sana mtandaoni, ulaya wanadhibitiwa kwa kuzifunga tovuti hizo ndo maana wanalazimika kubadilisha domain name kila mara. Hata wewe nikiwasiliana na host wako nikiwa kama mrithi wa kazi (mfano) za Mbaraka Mwinshehe, atalazimika kuifunga tovuti yako au atalazimika kulipa gharama za 'wizi' unaofanyika.
Sio kutishana, ni kuelimishana. Ni muhimu kutambua kuwa unafanya makosa ili hata siku ukikamatwa ujue kwanini unakamatwa.duh! Tunatishana
Penzi ni kikohozi ya fresh Jumbe ipo humu, ameiweka labda hiyo ya taarabu.Mimi mkuu natafuta nyimbo mbili tu..
1. Penzi kikohozi yake Fresh Jumbe.
2. Hii ni taarab sijaijua jina, ila mashairi yake yanaimbwa hivi, "Yailahi shoga si shoga, Kumbe ni hasidi eeh
Nalia shoga si shoga, kumbe ni hasidi"
Kama nitazipata hizi mkuu, utakuwa umenisaidia sana.
Haweki nyimbo za kizazi kipya.Naomba wimbo wa soul n faith maumivu ya mapenzi
Si kweli kuwa haweki hizo nyimbo, umepitia blog yake kidogoHaweki nyimbo za kizazi kipya.
Huu wa Masimango (TOT Plus utunzi wake Waziri Sonyo) sio Zilipendwa bwanaWIMBO WA BANZA STONE
UNAIMBWA HIVI
"MWENYE KWENU KWAHERI OOOH!! '