Uchaguzi 2020 Zilongwa mbali zitendwa mbali CHADEMA yasimamisha mgombea Urais Zanzibar

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CHADEMA leo amerejesha fomu za kugombea ZEC na kuahidi kuwa ataendelea na kinyang'anyiro hicho hadi siku ya Uchaguzi October 28, 2020.

CHADEMA.jpg
 
Hivi vyama vya upinzania vinahitaji mafundisho na afu viundwe upya.

Vinasema tu afu havitekelezi, Vinaahidi kushirikiana afu haviwezi kushirikiana.

Hadi hapo vimeshindwa kupata dila sahihi ya nini kifanyike.

Tuviache pembeni kwanza hadi vikomae kiuongozi.
 
Hakika mkuu!
 
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema leo amerejesha fomu za kugombea ZEC na kuahidi kuwa ataendelea na kinyang'anyiro hicho hadi siku ya uchaguzi October 28, 2020.

Source ITV habari!

Hahaahaha chadema kila mtu ni kamabale haahaha
 
Wala hamuhitaji kupanic kwani huku Member anafanya kampeni? Ukifiatilia Sana utagundua Kuna kitu fulani na hao wagombea wamewekwa just incase
 
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema leo amerejesha fomu za kugombea ZEC na kuahidi kuwa ataendelea na kinyang'anyiro hicho hadi siku ya uchaguzi October 28, 2020.

Source ITV habari!
Nililisema hili kuwa Lissu aliropoka na halikuwa na ridhaa ya chama, hapa na kwenye chama lazima wamtimue
 
Hivi vyama vya upinzania vinahitaji mafundisho na afu viundwe upya.

Vinasema tu afu havitekelezi, Vinaahidi kushirikiana afu haviwezi kushirikiana.

Hadi hapo vimeshindwa kupata dila sahihi ya nini kifanyike.

Tuviache pembeni kwanza hadi vikomae kiuongozi.
Ni wanaroho ya uchu na tamaa ilopitiliza,Hapo Kila mtu Ana lenga RUZUKU tu.
Hawa wakikabiziwa nchi watakwangua mpaka ukokoo wa rasilimali za nchi hii wanufaishe matumbo yao
 
Nililisema hili kuwa Lissu aliropoka na halikuwa na ridhaa ya chama, hapa na kwenye chama lazima wamtimue
Itategemea amewasaidia kuingiza ruzuku kiasi gani baada ya uchaguzi. Ikipatikana ya kutosha anaweza kutimuliwa ili waitafune bila bughudha
 
Back
Top Bottom