Uchaguzi 2020 Zilongwa mbali zitendwa mbali CHADEMA yasimamisha mgombea Urais Zanzibar

Uchaguzi 2020 Zilongwa mbali zitendwa mbali CHADEMA yasimamisha mgombea Urais Zanzibar

Kwahiyo nyie huwa mnataka Chadema tu ndo aachiwe, kwanini nyie msingeachia[emoji848]? Chaajabu hata mkiungana sikuzote, nyie ndo mnataka msimamishe mgombea[emoji23].
Na Kama mnaviona vyama vingine havina nguvu,kwanini msipambane tu ili mshinde bila kutegemea hizo mbeleko za kuungana.?
Kwa hiyo kwako wewe chama cha upinzani chenye nguvu ni kipi?
 
Ile declaration ya Lissu ilikuwa yake binafsi bila ridhaa ya Chama!?
 
Alimkandia nani?
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa ticket ya Chadema. Unajua Chama ni Itikadi, unaposimama na kusema CDM inamuunga mkono mgombea wa ACT ili upate uungwaji mkono huko Zanzibar, ni ubinafsi na mapungufu ya uongozi wa Chama. Kwa hili alitakiwa Katibu Mkuu wa CDM awajibike. Sasa fikiria huyu jamaa maskini mpeperusha bendera wa CDM anakwenda kunadi sera zipi? Si watu watamweleza kuwa hajawekwa na chama chake? It was a silly mistake juu ya jukwaa
 
Mbona hujasema alipomkandia?
 
Kwa hiyo kwako wewe chama cha upinzani chenye nguvu ni kipi?
Ni kwamba, Kama mna nguvu hamtakiwi kuumia Sana pale ambapo vyama vingine visivyokuwa na nguvu, vinapo amua kusimama vyenyewe, wasiwasi wa Nini Sasa🤔?
Na hiyo logic yenu ya ukubwa ndo imefanya vyama vingine kujitenga na ule muungano wa upinzani, kwakua mmekuwa na kasumba ya kuamini kuwa nyie ndo mnastahili vikubwa zaidi ya vyama vingne ndani ya ule muungano wenu.
 
Kama ungekuwa unajua sheria ya sasa ya vyama vya siasa, juu ya ushirikiano wala usingehangaika na hilo suala!!! Wanaoifahamu jinsi ilivyotungwa ki mtego wala hawahangaiki kuuliza hali hiyo!! Sheria zinatungwa kiuogaa!!
Kwahiyo Tundu Lisu kwa kumuunga mkono maalimu Seif amevunja sheria?
 
Ni kwamba, Kama mna nguvu hamtakiwi kuumia Sana pale ambapo vyama vingine visivyokuwa na nguvu, vinapo amua kusimama vyenyewe, wasiwasi wa Nini Sasa[emoji848]?
Na hiyo logic yenu ya ukubwa ndo imefanya vyama vingine kujitenga na ule muungano wa upinzani, kwakua mmekuwa na kasumba ya kuamini kuwa nyie ndo mnastahili vikubwa zaidi ya vyama vingne ndani ya ule muungano wenu.
Hujajibu swali
 
Nafikiri hapo kakamilisha taratibu, huenda vinginevyo ingeleta SHIDA ktk ukamilishwaji wa taratibu
 
Ni wanaroho ya uchu na tamaa ilopitiliza,Hapo Kila mtu Ana lenga RUZUKU tu.
Hawa wakikabiziwa nchi watakwangua mpaka ukokoo wa rasilimali za nchi hii wanufaishe matumbo yao
Watamzidi mtembea na maroba ya note kwenye gari?
 
Shida ya chadema ni udikteta..ina maana walishindwa kukaa chini na huyo mgombea??

Yaani wametika bara wakiwa na agenda yao tofauti..wanafika kule hata kuwashirikisha wenye nchi..
 
Nilitarajia mgombea wa CDM ZNZ nae atangaze kumuunga mkono mgombea wa ACT.
kumbe tunarudi kulekule watanganyika wanapenda kuwaamulia wazabzibar kwamba mgombea wa CDM Tanganyika anamuamulia mgombea wa CDM ZNZ kwamba asipigiwe Kura.
kweli watanganyika tunawakosea Sana wa ZNZ.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Kwa mtizamo wako,Ni chama gani na mgombea gani ana nguvu ya kukiondoa chama cha mapinduzi Zanzibar?
 
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema leo amerejesha fomu za kugombea ZEC na kuahidi kuwa ataendelea na kinyang'anyiro hicho hadi siku ya uchaguzi October 28, 2020.

Source ITV habari!
Hii ni mkakati. Ikitokea ZEC imemuondoa Maalim kwa maujinga kama ya huku Bara, basi Chadema ina endelea. Hamna mtu kupita bila kupingwa hapa
 
Back
Top Bottom