Uchaguzi 2020 Zilongwa mbali zitendwa mbali CHADEMA yasimamisha mgombea Urais Zanzibar

Wapinzani wazee wa kula matapishi
Come on now Binti Bush , we as CHADEMA have survived the past 20+ years under extreme oppression under every single president of this country. We know Voting Meko out will not change our condition. But again No President from the Green will change our condition to the better, therefore We must change the ruling system or suffer the consequences later.
 
Mmeambiwa tunaenda kwa hesabu. Sasa ngoja tuone nn kinafuata. Alichokifanya lissu na hao ndio watakuwa wanafanya kwenye majukwaa sheria zipo tight kwao so wanaenda kwa hesabu
 
Yap,Chadema wakaze Zanzibar na Act wakaze bara ili kilamtu ashinde mechi zake.
 
Usionyeshe ujinga (ignorance ni hali ya kutokujua, siyo tusi) wako hapa kwa kushangilia sana na vigelegele juu. Vyama lazima viwe na sura ya muungano. Hauwezi kusimamisha mgombea Urais sehemu moja ya Muungano halafu chama chako kikapata uhalali wa kuwepo kikatiba. Wanachoweza kufanya ni kuweka wagombea na kuamua baadae nani apigiwe kura wapi.
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema leo amerejesha fomu za kugombea ZEC na kuahidi kuwa ataendelea na kinyang'anyiro hicho hadi siku ya uchaguzi October 28, 2020.

Source ITV habari!
 
Kwahiyo wewe unajua sheria kumzidi Rais wa Chadema Tundu Lisu?!
 
Usionyeshe tena ignorance yako. TL hakusema CHADEMA haitosimamisha mgombea Zanzibar. Alisema apigiwe kura mgombea wa ACT. Kama hauelewi na hili basi wewe ni mjinga sana (very ignorant). Ignorance - siyo tusi. Ni hali ya kutokujua tu.

Usimlishe TL maneno
 
Bwashee mbona umepanic au mbege imepanda bei?!

Wewe kwa TAL ni sisimizi tu......bora hata yule aliyesema TAL na Membe wanategana kuliko sisimizi wewe!
 
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema leo amerejesha fomu za kugombea ZEC na kuahidi kuwa ataendelea na kinyang'anyiro hicho hadi siku ya uchaguzi October 28, 2020.

Source ITV habari!
Lissu kasema anamuunga mkono maalim, sasa hiki ndio nini?
 
Ni wanaroho ya uchu na tamaa ilopitiliza,Hapo Kila mtu Ana lenga RUZUKU tu.
Hawa wakikabiziwa nchi watakwangua mpaka ukokoo wa rasilimali za nchi hii wanufaishe matumbo yao
Kwani CCM imefanya nini la maana miaka zaidi ya 50
 
H
Ni takwa la kisheria, CDM na ACT wanategua mitego yote mwaka huu, MATAGA jiandaeni kisaikolojia, iwe kwa amani au kwa shari mtakabidhi funguo za ikulu hapo november
Hapo mtego ulikua ni upi.
 
Usionyeshe ujinga (ignorance ni hali ya kutokujua, siyo tusi) wako hapa kwa kushangilia sana na vigelegele juu. Vyama lazima viwe na sura ya muungano. Hauwezi kusimamisha mgombea Urais sehemu moja ya Muungano halafu chama chako kikapata uhalali wa kuwepo kikatiba. Wanachoweza kufanya ni kuweka wagombea na kuamua baadae nani apigiwe kura wapi.
Je, ADC wana mgombea bara, vip CHAUMA huko Zanzibar
 
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema leo amerejesha fomu za kugombea ZEC na kuahidi kuwa ataendelea na kinyang'anyiro hicho hadi siku ya uchaguzi October 28, 2020.

Source ITV habari!
Kama ungekuwa unajua sheria ya sasa ya vyama vya siasa, juu ya ushirikiano wala usingehangaika na hilo suala!!! Wanaoifahamu jinsi ilivyotungwa ki mtego wala hawahangaiki kuuliza hali hiyo!! Sheria zinatungwa kiuogaa!!
 
Nilitarajia mgombea wa CDM ZNZ nae atangaze kumuunga mkono mgombea wa ACT.
kumbe tunarudi kulekule watanganyika wanapenda kuwaamulia wazabzibar kwamba mgombea wa CDM Tanganyika anamuamulia mgombea wa CDM ZNZ kwamba asipigiwe Kura.
kweli watanganyika tunawakosea Sana wa ZNZ.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema leo amerejesha fomu za kugombea ZEC na kuahidi kuwa ataendelea na kinyang'anyiro hicho hadi siku ya uchaguzi October 28, 2020.

Source ITV habari!
Hizo ni mbinu za medani vitamin. Kwa uhanithi wa CCM na tume ya uchaguzi chini ya CCM inaweza kumkata Maalim Sefu, hivyo lazima kuwe na backup.
 
Back
Top Bottom