Uchaguzi 2020 Zilongwa mbali zitendwa mbali CHADEMA yasimamisha mgombea Urais Zanzibar

Uchaguzi 2020 Zilongwa mbali zitendwa mbali CHADEMA yasimamisha mgombea Urais Zanzibar

Naona dalili ya ZEC kuipa chadema kura za ACT ili wagawane na CCM kubakizwa na kura zake+alizoibiwa mwisho wa siku ionekane wapinzani wamegawana kura
 
ZEC itamuondoaje wakati kila siku tunasema mwaka huu basii?? Kumbe nNEC wakumuondoa mgombea wa upinzani hakuna lolote tutafanya?
Hii ni mkakati. Ikitokea ZEC imemuondoa Maalim kwa maujinga kama ya huku Bara, basi Chadema ina endelea. Hamna mtu kupita bila kupingwa hapa
 
Back
Top Bottom