Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Hapo ndiyo raha ya Sisiemu, wana tabasamu tu na kunywa kahawa bila kashataHapo wametegana, member kawatega chadema bara, chadema wamewatega ACT zanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndiyo raha ya Sisiemu, wana tabasamu tu na kunywa kahawa bila kashataHapo wametegana, member kawatega chadema bara, chadema wamewatega ACT zanzibar
Alimkandia nani?Tatizo ni Lissu, huwezi kusimama hadharani ni kumkandia mgombea wa chama chako! It was a terrible mistake
Kwa hiyo kwako wewe chama cha upinzani chenye nguvu ni kipi?Kwahiyo nyie huwa mnataka Chadema tu ndo aachiwe, kwanini nyie msingeachia[emoji848]? Chaajabu hata mkiungana sikuzote, nyie ndo mnataka msimamishe mgombea[emoji23].
Na Kama mnaviona vyama vingine havina nguvu,kwanini msipambane tu ili mshinde bila kutegemea hizo mbeleko za kuungana.?
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa ticket ya Chadema. Unajua Chama ni Itikadi, unaposimama na kusema CDM inamuunga mkono mgombea wa ACT ili upate uungwaji mkono huko Zanzibar, ni ubinafsi na mapungufu ya uongozi wa Chama. Kwa hili alitakiwa Katibu Mkuu wa CDM awajibike. Sasa fikiria huyu jamaa maskini mpeperusha bendera wa CDM anakwenda kunadi sera zipi? Si watu watamweleza kuwa hajawekwa na chama chake? It was a silly mistake juu ya jukwaaAlimkandia nani?
Mbona hujasema alipomkandia?Mgombea Urais wa Zanzibar kwa ticket ya Chadema. Unajua Chama ni Itikadi, unaposimama na kusema CDM inamuunga mkono mgombea wa ACT ili upate uungwaji mkono huko Zanzibar, ni ubinafsi na mapungufu ya uongozi wa Chama. Kwa hili alitakiwa Katibu Mkuu wa CDM awajibike. Sasa fikiria huyu jamaa maskini mpeperusha bendera wa CDM anakwenda kunadi sera zipi? Si watu watamweleza kuwa hajawekwa na chama chake? It was a silly mistake juu ya jukwaa
Ni kwamba, Kama mna nguvu hamtakiwi kuumia Sana pale ambapo vyama vingine visivyokuwa na nguvu, vinapo amua kusimama vyenyewe, wasiwasi wa Nini Sasa🤔?Kwa hiyo kwako wewe chama cha upinzani chenye nguvu ni kipi?
Kwahiyo Tundu Lisu kwa kumuunga mkono maalimu Seif amevunja sheria?Kama ungekuwa unajua sheria ya sasa ya vyama vya siasa, juu ya ushirikiano wala usingehangaika na hilo suala!!! Wanaoifahamu jinsi ilivyotungwa ki mtego wala hawahangaiki kuuliza hali hiyo!! Sheria zinatungwa kiuogaa!!
Hujajibu swaliNi kwamba, Kama mna nguvu hamtakiwi kuumia Sana pale ambapo vyama vingine visivyokuwa na nguvu, vinapo amua kusimama vyenyewe, wasiwasi wa Nini Sasa[emoji848]?
Na hiyo logic yenu ya ukubwa ndo imefanya vyama vingine kujitenga na ule muungano wa upinzani, kwakua mmekuwa na kasumba ya kuamini kuwa nyie ndo mnastahili vikubwa zaidi ya vyama vingne ndani ya ule muungano wenu.
Sijaona bado Chama Cha upinzani chenye nguvu, kwasababu vyote bado vinategemea kuungana ili kukiondoa Chama tawala😄...!Hujajibu swali
Hapa ndio umejibu, good daySijaona bado Chama Cha upinzani chenye nguvu, kwasababu vyote bado vinategemea kuungana ili kukiondoa Chama tawala[emoji1]...!
nimekukubali, ulimwelewa vizuri LisuNi takwa la kisheria, CDM na ACT wanategua mitego yote mwaka huu, MATAGA jiandaeni kisaikolojia, iwe kwa amani au kwa shari mtakabidhi funguo za ikulu hapo november
You too..!🙏🙏Hapa ndio umejibu, good day
Watamzidi mtembea na maroba ya note kwenye gari?Ni wanaroho ya uchu na tamaa ilopitiliza,Hapo Kila mtu Ana lenga RUZUKU tu.
Hawa wakikabiziwa nchi watakwangua mpaka ukokoo wa rasilimali za nchi hii wanufaishe matumbo yao
Mchawi akishaloga na kuuwa nae huja msibani na kulia na wafiwa.Bwashee CCM inaingiaje hapo?!
Kwa mtizamo wako,Ni chama gani na mgombea gani ana nguvu ya kukiondoa chama cha mapinduzi Zanzibar?Nilitarajia mgombea wa CDM ZNZ nae atangaze kumuunga mkono mgombea wa ACT.
kumbe tunarudi kulekule watanganyika wanapenda kuwaamulia wazabzibar kwamba mgombea wa CDM Tanganyika anamuamulia mgombea wa CDM ZNZ kwamba asipigiwe Kura.
kweli watanganyika tunawakosea Sana wa ZNZ.
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Hii ni mkakati. Ikitokea ZEC imemuondoa Maalim kwa maujinga kama ya huku Bara, basi Chadema ina endelea. Hamna mtu kupita bila kupingwa hapaMgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema leo amerejesha fomu za kugombea ZEC na kuahidi kuwa ataendelea na kinyang'anyiro hicho hadi siku ya uchaguzi October 28, 2020.
Source ITV habari!