Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Tatizo ni Zitto na huyo kimbunga kumbakumbaaaa wake AKA Membe
Pathetic babaako na mamaako fisi wewe
Come on now Binti Bush , we as CHADEMA have survived the past 20+ years under extreme oppression under every single president of this country. We know Voting Meko out will not change our condition. But again No President from the Green will change our condition to the better, therefore We must change the ruling system or suffer the consequences later.Wapinzani wazee wa kula matapishi
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema leo amerejesha fomu za kugombea ZEC na kuahidi kuwa ataendelea na kinyang'anyiro hicho hadi siku ya uchaguzi October 28, 2020.
Source ITV habari!
Kwahiyo wewe unajua sheria kumzidi Rais wa Chadema Tundu Lisu?!Usionyeshe ujinga (ignorance ni hali ya kutokujua, siyo tusi) wako hapa kwa kushangilia sana na vigelegele juu. Vyama lazima viwe na sura ya muungano. Hauwezi kusimamisha mgombea Urais sehemu moja ya Muungano halafu chama chako kikapata uhalali wa kuwepo kikatiba. Wanachoweza kufanya ni kuweka wagombea na kuamua baadae nani apigiwe kura wapi.
Kwahiyo wewe unajua sheria kumzidi Rais wa Chadema Tundu Lisu?!
Usimlishe TL manenoUsionyeshe tena ignorance yako. TL hakusema CHADEMA haitosimamisha mgombea Zanzibar. Alisema apigiwe kura mgombea wa ACT. Kama hauelewi na hili basi wewe ni mjinga sana (very ignorant). Ignorance - siyo tusi. Ni hali ya kutokujua tu.
Bwashee mbona umepanic au mbege imepanda bei?!Usionyeshe tena ignorance yako. TL hakusema CHADEMA haitosimamisha mgombea Zanzibar. Alisema apigiwe kura mgombea wa ACT. Kama hauelewi na hili basi wewe ni mjinga sana (very ignorant). Ignorance - siyo tusi. Ni hali ya kutokujua tu.
Lissu kasema anamuunga mkono maalim, sasa hiki ndio nini?Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema leo amerejesha fomu za kugombea ZEC na kuahidi kuwa ataendelea na kinyang'anyiro hicho hadi siku ya uchaguzi October 28, 2020.
Source ITV habari!
Lisu kafuata nyayo za Lyatonga Mrema kwa upande wa Zanzibar!Lissu kasema anamuunga mkono maalim, sasa hiki ndio nini?
Kwani CCM imefanya nini la maana miaka zaidi ya 50Ni wanaroho ya uchu na tamaa ilopitiliza,Hapo Kila mtu Ana lenga RUZUKU tu.
Hawa wakikabiziwa nchi watakwangua mpaka ukokoo wa rasilimali za nchi hii wanufaishe matumbo yao
Hapo mtego ulikua ni upi.Ni takwa la kisheria, CDM na ACT wanategua mitego yote mwaka huu, MATAGA jiandaeni kisaikolojia, iwe kwa amani au kwa shari mtakabidhi funguo za ikulu hapo november
Je, ADC wana mgombea bara, vip CHAUMA huko ZanzibarUsionyeshe ujinga (ignorance ni hali ya kutokujua, siyo tusi) wako hapa kwa kushangilia sana na vigelegele juu. Vyama lazima viwe na sura ya muungano. Hauwezi kusimamisha mgombea Urais sehemu moja ya Muungano halafu chama chako kikapata uhalali wa kuwepo kikatiba. Wanachoweza kufanya ni kuweka wagombea na kuamua baadae nani apigiwe kura wapi.
Hakuna kutegana Ni figisu za maccm tu
Watu mpo so obsessed na CCM, sasa inahusima vipi.hapoCcm bana akili hamna kwa hiyo ndo watamshinda seif bila msaada wa jecha
Kama ungekuwa unajua sheria ya sasa ya vyama vya siasa, juu ya ushirikiano wala usingehangaika na hilo suala!!! Wanaoifahamu jinsi ilivyotungwa ki mtego wala hawahangaiki kuuliza hali hiyo!! Sheria zinatungwa kiuogaa!!Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema leo amerejesha fomu za kugombea ZEC na kuahidi kuwa ataendelea na kinyang'anyiro hicho hadi siku ya uchaguzi October 28, 2020.
Source ITV habari!
Hizo ni mbinu za medani vitamin. Kwa uhanithi wa CCM na tume ya uchaguzi chini ya CCM inaweza kumkata Maalim Sefu, hivyo lazima kuwe na backup.Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema leo amerejesha fomu za kugombea ZEC na kuahidi kuwa ataendelea na kinyang'anyiro hicho hadi siku ya uchaguzi October 28, 2020.
Source ITV habari!
Chadema wajinga sana, Sasa huyo mgombea wenu wa urais kawekwa na CCM?Hakuna kutegana Ni figisu za maccm tu