Gavana JF-Expert Member Joined Jul 19, 2008 Posts 33,637 Reaction score 8,947 Sep 10, 2020 #81 BUSH BIN LADEN said: Imeboresha miundombinu ya mawasiliano ndo maana wewe umeweza kuwa hapa kuwabeza Click to expand... Kumbe miundo mbinu hujengwa na Chama?Tokea lini mambo hayo?
BUSH BIN LADEN said: Imeboresha miundombinu ya mawasiliano ndo maana wewe umeweza kuwa hapa kuwabeza Click to expand... Kumbe miundo mbinu hujengwa na Chama?Tokea lini mambo hayo?
usatrumpjr JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 2,237 Reaction score 2,898 Sep 10, 2020 #82 Naona dalili ya ZEC kuipa chadema kura za ACT ili wagawane na CCM kubakizwa na kura zake+alizoibiwa mwisho wa siku ionekane wapinzani wamegawana kura
Naona dalili ya ZEC kuipa chadema kura za ACT ili wagawane na CCM kubakizwa na kura zake+alizoibiwa mwisho wa siku ionekane wapinzani wamegawana kura
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 20,694 Reaction score 32,527 Sep 10, 2020 #83 Taratibu gani? Ilikuwa lazima chadema waweke mgombea zanzibar? Bombabomba said: Nafikiri hapo kakamilisha taratibu, huenda vinginevyo ingeleta SHIDA ktk ukamilishwaji wa taratibu Click to expand...
Taratibu gani? Ilikuwa lazima chadema waweke mgombea zanzibar? Bombabomba said: Nafikiri hapo kakamilisha taratibu, huenda vinginevyo ingeleta SHIDA ktk ukamilishwaji wa taratibu Click to expand...
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 20,694 Reaction score 32,527 Sep 10, 2020 #84 ZEC itamuondoaje wakati kila siku tunasema mwaka huu basii?? Kumbe nNEC wakumuondoa mgombea wa upinzani hakuna lolote tutafanya? LESIRIAMU said: Hii ni mkakati. Ikitokea ZEC imemuondoa Maalim kwa maujinga kama ya huku Bara, basi Chadema ina endelea. Hamna mtu kupita bila kupingwa hapa Click to expand...
ZEC itamuondoaje wakati kila siku tunasema mwaka huu basii?? Kumbe nNEC wakumuondoa mgombea wa upinzani hakuna lolote tutafanya? LESIRIAMU said: Hii ni mkakati. Ikitokea ZEC imemuondoa Maalim kwa maujinga kama ya huku Bara, basi Chadema ina endelea. Hamna mtu kupita bila kupingwa hapa Click to expand...
Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,042 Reaction score 19,787 Sep 10, 2020 #85 johnthebaptist said: Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CHADEMA leo amerejesha fomu za kugombea ZEC na kuahidi kuwa ataendelea na kinyang'anyiro hicho hadi siku ya Uchaguzi October 28, 2020. View attachment 1564932 Click to expand... Chadema wanajichanganya haaa
johnthebaptist said: Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CHADEMA leo amerejesha fomu za kugombea ZEC na kuahidi kuwa ataendelea na kinyang'anyiro hicho hadi siku ya Uchaguzi October 28, 2020. View attachment 1564932 Click to expand... Chadema wanajichanganya haaa
jkipaji JF-Expert Member Joined Sep 22, 2019 Posts 6,963 Reaction score 9,401 Sep 10, 2020 #86 Jay One said: Chadema wanajichanganya haaa Click to expand... CDM ni walaghai,walitaka kumuingiza chaka Maalimu Seifu!!
Jay One said: Chadema wanajichanganya haaa Click to expand... CDM ni walaghai,walitaka kumuingiza chaka Maalimu Seifu!!