Zima kiki washa mziki hatimaye Zilipendwa yaipiku Seduce me kwa views Youtube

Ngoma iliyofanyiwa kampeni na promo la kutosha kila sehem vs ngoma iliyotoka kimya kmya bila promo wala kampeni
Wcb wana roho mbaya sana kulikuwa na haja gani ya kutoa nyimbo baada ya kusikia mwenzake katoa ili waizime hayo ndo malipo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…