Zima kiki washa mziki hatimaye Zilipendwa yaipiku Seduce me kwa views Youtube

Zima kiki washa mziki hatimaye Zilipendwa yaipiku Seduce me kwa views Youtube

Kuna thread aliinzisha Bonny juu ya hizi nyimbo mbili, hiki ndicho nilicho-comment.

Siyo wote wenye mitazamo chanya kama yako.

So far nyimbo zote 2 ni nzuri, ila mimi mtazamo wangu ni kwamba Seduce Me itachuja baada ya muda mfupi sana ukilinganisha na Zilipendwa, na baada ya miezi sita au mwaka Views zitakuwa nyingi Zilipendwa (almost 2 times za Seduce Me).

Shukran
 
Je uliepost unajua tofauti ya vevo na yutubu

Nauliza kwann katika pitapita zangu nmesikia kuwa vevo haiwez kuwa robot wakati yutubu inaweza kuwa robot yaan vevo wako smart compared to yutubu

Mm ni timu wizikid
 
0c12158a97b5759d20b7853b8c1a1fe3.jpg
 
mlisahau ku dislike maana ni 7k kwa 11k mmefanikiwa kwenye views na hapo katafuteni wakufanya hio kazi
 
Very True Mkuu u said it all and it is revealed.

Nimeiona hii thread nikakumbuka ule uzi wako.

Kiukweli hizi nyimbo zote ni nzuri, ila Seduce Me naikubali audio zaidi, wakati Zilipendwa ni video.

Nod maana you-tube Zilependwa inaipita Seduce Me.
 
Je uliepost unajua tofauti ya vevo na yutubu

Nauliza kwann katika pitapita zangu nmesikia kuwa vevo haiwez kuwa robot wakati yutubu inaweza kuwa robot yaan vevo wako smart compared to yutubu

Mm ni timu wizikid
hamna kitu km icho robot kokotekote zina tembea account ya vevo ya lady gaga ishakutwa na ma robot ya kutosha kwny views
 
Diamond na mashabiki wake mnajitekenya na kucheka wenyewe.

Diamond kanunua Views.

Yani kalipa hela YouTube ilazimishe watu watazame video yake.
 
Back
Top Bottom