Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
woooi, mechi ilishaisha kitamboooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye roho nzuri ni nyie mliomtukana mzazi wa mwenzenu matusi ya nguoni. Hopeless kabisa. Mungu anawatandika kofi. Huyo kibakuli wenu hawezi kutoboa. MfyuuuuWcb wana roho mbaya sana kulikuwa na haja gani ya kutoa nyimbo baada ya kusikia mwenzake katoa ili waizime hayo ndo malipo yake
HhhhhhWatakuwa wamenunua views hao si unajua tena #janja_janja ila yule kibakuli alipewa kiki ngoja tusubiri BET na MTV inaweza ikamuhusu mwaka huu kama sio ujao
Labda BET au MTV za mbagaraWatakuwa wamenunua views hao si unajua tena #janja_janja ila yule kibakuli alipewa kiki ngoja tusubiri BET na MTV inaweza ikamuhusu mwaka huu kama sio ujao
Maji ya shingoWcb wana roho mbaya sana kulikuwa na haja gani ya kutoa nyimbo baada ya kusikia mwenzake katoa ili waizime hayo ndo malipo yake
Kwan mlitoa mda wa kushindana....hizi ni mbio ndefu mwenye pumzi ndo anaibuka mshindiwoooi, mechi ilishaisha kitamboooo
kipind mnaongoza maneno hayo hayakuwepo... Ila league imewashnda ndo mnaanza. Toka link msanii wa Africa mashark akashndana na msanii wa AfricaVEVO YA ALIKIBA NI PURE VIEWS NA YOUTUBE YA DIAMOND INARUHUSU MPAKA ROBOTIC VIEWS.
kipind mnaongoza maneno hayo hayakuwepo... Ila league imewashnda ndo mnaanza. Toka lini msanii wa Africa mashark akashndana na msanii wa Africa???VEVO YA ALIKIBA NI PURE VIEWS NA YOUTUBE YA DIAMOND INARUHUSU MPAKA ROBOTIC VIEWS.
Mlivosema shoga mlitegemea niniWenye roho nzuri ni nyie mliomtukana mzazi wa mwenzenu matusi ya nguoni. Hopeless kabisa. Mungu anawatandika kofi. Huyo kibakuli wenu hawezi kutoboa. Mfyuuuu
Hizo VIEWS zigawanye kwa wasanii wote saba bila kumsahau salam_skkipind mnaongoza maneno hayo hayakuwepo... Ila league imewashnda ndo mnaanza. Toka lini msanii wa Africa mashark akashndana na msanii wa Africa???
Alitukanwa mwenyewe sio baba yake au mama yake! Kiume huwa tunamlizana sisi wenywet na hakun kulia lia. Sio kukimbiia kwa waiMlivosema shoga mlitegemea nini
Unamchagulia silahaAlitukanwa mwenyewe sio baba yake au mama yake! Kiume huwa tunamlizana sisi wenywet na hakun kulia lia. Sio kukimbiia kwa wai
hhhh vp promo yenu ya kile kibibi?Nadhani hao viewers wazilipendwa wameongezeka baada ya diamond kwenda kujiliza liza kwenye leo tena et atatembea kwa magoti hadi SA. Halafu siku nyingine usirudie kushindanisha kundi na solo artist.