sylivester makongo
JF-Expert Member
- Jun 1, 2017
- 215
- 82
Siyo wote wenye mitazamo chanya kama yako.
So far nyimbo zote 2 ni nzuri, ila mimi mtazamo wangu ni kwamba Seduce Me itachuja baada ya muda mfupi sana ukilinganisha na Zilipendwa, na baada ya miezi sita au mwaka Views zitakuwa nyingi Zilipendwa (almost 2 times za Seduce Me).
Shukran
Kuna mambo ya muhimu ya kuangaliaNgoma iliyofanyiwa kampeni na promo la kutosha kila sehem vs ngoma iliyotoka kimya kmya bila promo wala kampeni
Kwani walikatazwa kufanya kampeni...?Ngoma iliyofanyiwa kampeni na promo la kutosha kila sehem vs ngoma iliyotoka kimya kmya bila promo wala kampeni
Hivi una vitu vya muhimukipind mnaongoza maneno hayo hayakuwepo... Ila league imewashnda ndo mnaanza. Toka link msanii wa Africa mashark akashndana na msanii wa Africa
Wivuu
Mkuu naona tumetofautiana kuelewa,hebu rudia swali tafadhali?hhhh vp promo yenu ya kile kibibi?
Very True Mkuu u said it all and it is revealed.
hawawezi kuelewa hawa mambo ya robotic views watu wanacheza na programmingVEVO YA ALIKIBA NI PURE VIEWS NA YOUTUBE YA DIAMOND INARUHUSU MPAKA ROBOTIC VIEWS.
hamna kitu km icho robot kokotekote zina tembea account ya vevo ya lady gaga ishakutwa na ma robot ya kutosha kwny viewsJe uliepost unajua tofauti ya vevo na yutubu
Nauliza kwann katika pitapita zangu nmesikia kuwa vevo haiwez kuwa robot wakati yutubu inaweza kuwa robot yaan vevo wako smart compared to yutubu
Mm ni timu wizikid