Zima kiki washa mziki hatimaye Zilipendwa yaipiku Seduce me kwa views Youtube

HAHAHAAAA WAMEPOTEA MAZIMAAA



Nilikua nacheka pindi wanavyojishaua ooohh ngoma Kali
Sijui upupu gani
Wakati mchana wake waliitupia kila LAWAMA



Eti ili kumkomoa DIAMOND NA WCB WAKAANZA KAMPENI



SA HIVI SIMUONI
H.BABA
BOB JUNIOR
MATONYA
AT
NA UCHAFU KIBAAAAAOOO,WOTE WAMELALA MBELE,KILA MTU KARUDI KWENYE KIJITIMU CHAKE.



WAKIAMBIWA WAPAMBANE TE FAN BASE ZAO,WANALETAAJUNGU

SASA WAMESAHAU MAJUNGU SI MTAJI
INABIDI WARUDI TENA KUANZA KAMPENI
MAANA NI AIBU SANAAA
 
MTOTO ni MTOTO tu
Mbio za Sakafuni za kibakuli mwishoe Aibu
 
Je uliepost unajua tofauti ya vevo na yutubu

Nauliza kwann katika pitapita zangu nmesikia kuwa vevo haiwez kuwa robot wakati yutubu inaweza kuwa robot yaan vevo wako smart compared to yutubu

Mm ni timu wizikid
Domo ana viewa zaidi ya 15M vevo so hakuna jipya na hizo ni sababu za kitoto mara sijui robot mara sijui nn kubali tu kuwa pumzi imekata.
 
Diamond na mashabiki wake mnajitekenya na kucheka wenyewe.

Diamond kanunua Views.

Yani kalipa hela YouTube ilazimishe watu watazame video yake.
Nyani anacheka kundule unaijua hiyo methali

Ok tufanye tumekubwli kuwa domo kanunua viewz, je kiba alifanyaje...

Kwa ufupi tu ni hivi,

Kiba pamoja na promo la kutosha kutoka kila sehem na kampeni ya kutosha ilofanywa na mange hakuona haitoshi alilipia vevo na akalipia instagram ngoma ikawa sponsored insta lakin kwa kuwa ww ni shabik mandaz hujaliona hilo.
 
kipind mnaongoza maneno hayo hayakuwepo... Ila league imewashnda ndo mnaanza. Toka link msanii wa Africa mashark akashndana na msanii wa Africa
We jamaa utakufa si muda mrefu kwa roho mbaya!! Usikute ndo ninyi mmegraduate na hamjapata ajira mlivyo wajinga mnakaa kushindanisha wasanii, wao wana make mkwanja usikute tangu asubuhi hadi jioni upo tuu kwa runinga na kasmart phone kako ,kazi yako kuingia you tube na kuwapa mafanikio wenzio!!! Badilikeni hivi mnatofauti gani kati yenu na watoto wa chekechea???? Hivi wewe graduate unautumiaje muda wako OK SNA nia mbaya ila mwakani mwezi wa tano nitatoa nafasi za kazi kwa walimu wale tu walo soma coz ya bachelor degree in early childhood education ,acheni kibishana tengenezeni pesa ,
Yan MTU asubuhi akiamka tuu anaingia YouTube kuangalia umbea wa zari na diamond au alikiba na diamond ,nonsense wenye tabia kama hiz kama ni wadogo zangu nakuchapa makofi hadi uchanganyikiwe.
Hivi nyie roho haziwaumi kukaa kufatilia wenzenu AF we kila pakicha upo hivohivo? Yani wengine akili zenu zimeshikiliwa na diamond na kiba+ other negatively issues?? Foolish! PAMBANENE NA HALI ZENU. See you in a successfully way
 
Wcb wana roho mbaya sana kulikuwa na haja gani ya kutoa nyimbo baada ya kusikia mwenzake katoa ili waizime hayo ndo malipo yake
Kwa hiyo kwa kuwa Alikiba katoa ndo wengine wasitoe? Wcb nikawaida yao kutoa mziki juu ya mziki! Tatzo ali kiba anataka abebwe eti aachiwe ngoma itrendi ha ha ha haa only in tzzzz
 
Watu tulishahama uko nyie bado mnaendeleA rekod ilikua ya week
 
Kwani walikatazwa kufanya kampeni...?

kweli miafrika ndivyo tulivyo!
Hakuna alokataza kampen; sasa hakuna vya sababu, IPI NGOMA KALI?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [HASHTAG]#kwa[/HASHTAG] kigezo cha viewers youtube?
 
Kwa hiyo kwa kuwa Alikiba katoa ndo wengine wasitoe? Wcb nikawaida yao kutoa mziki juu ya mziki! Tatzo ali kiba anataka abebwe eti aachiwe ngoma itrendi ha ha ha haa only in tzzzz
Read carefully btn lines then reply again
 
WAPE WAP
EWAPE mzee baba,NYUMBU WA MANGE HAOOOOO



SA HIVI WANAJIDAI KAMA HAWAJUI NI NANI ANATHREND NA KUTAMBULIKA NA WASANII NA MADJ WAKUBWA DUNIANI
 
simba mwenye njaaa big up.... alikibakuli chaliii....πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Kwa hiyo cku zote ali alivyokuwa anaongoza kwa viewers wengi youtube ngoma yake ilikuwa kali kuliko hiyo nyingine
Hakuna alokataza kampen; sasa hakuna vya sababu, IPI NGOMA KALI?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [HASHTAG]#kwa[/HASHTAG] kigezo cha viewers youtube?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…