Kwa hapa bongo kwa kweli wanawake wana tamaa hiyo ni kweli, maana hapa mpaka mke wa mtu anajiuza na kaachiwa kila kitu na mumewe ila akitokea tu msukuma mmoja katoka zake mwanza ana pesa akipigiwa simu na shost yake kuwa Kuna deal chap chap anaacha yote then anakipeleka kitumbua chake kikakandamizweHapa wanajiuzia tamaa sio njaa mkuu
Raia wengi wako SA ni kweli lakin siyo robo tatu sasa ndugu yangu, robo tatu hiyo sii ni inchi nzima kabisa mtumishHivi inasemekana Zimbabwe karibu robo tatu ya raia wake wapo SA ni kweli?
We andaa mgunia wa mahindi mzeeNauli ya kutoka Tz mpaka Zimbabwe ni sh ngapi mkuu
Kumbe? Bongo kuna mazingira duni ya kujituma , nguvu na akili nyingi matokeo kiduchu.Raia wengi wako SA ni kweli lakin siyo robo tatu sasa ndugu yangu, robo tatu hiyo sii ni inchi nzima kabisa mtumish
Sema jamaa wanajituma sana, ni wachapa kazi sana kwakweli, wako mataifa mengi sana huko kusin kasoro bongo tu
Hatari hii....hawa ukiwapa ofa ya kuwaoa wanahamia kwakonbila tabuThis is happening in Zimbabwe 🇿🇼
View attachment 3246604
Bongo kwa sasa imehalibika kabisa kwa sisi watafutajiKumbe? Bongo kuna mazingira duni ya kujituma , nguvu na akili nyingi matokeo kiduchu.
Mkuu hivi watoto wa kishona Zimbabwe vipi,ni wepesi? Kuna mmoja namtaka job hapa,hit and runNimekaa Mozambique tete pamoja na Beira ndo maana hata I'D yangu naitwa Beira boy
Tete wanaojiuza ni wazimbambwe , na wamalawi ukiwauliza kwanini wanakwambia maisha ya nchini mwao ni magumu sana
Njoo hapa kwetu Tanzania hali ni ile ile mabinti wanajiuza wengi mpaka unaogopa si Zanzibar,morogoro, mwanza au mbeya
Tuwaombee sana
Ina katisha tamaa kuona chawa anakuambia huna pesa wala akili wakati unapambana , ila mmeyataka wenyewe mkuuu huko social media mnapenda kuwafuatilia acha mpigwe za uso mmaee🤣Bongo kwa sasa imehalibika kabisa kwa sisi watafutaji
Kutoboa bongo kwa sasa inakulazimu uwe na cheo CCM
Flame bei kodi bei juu TRA nao bei juu
Ndio mkuu Zimbabwe wengi wao ni Mashona na hata lugha yao ya nyumban ni kishona japo kuwa wanaongea kimalikia , kama walivyo wamalawi wao ni wachewa na wanaongea kichewa kama lugha mamaMkuu hivi watoto wa kishona Zimbabwe vipi,ni wepesi? Kuna mmoja namtaka job hapa,hit and run
Mkuu huku hakuna cha kufatilia zaid ya mambo hayo ukijifanya mjanja unatekwa, ndugu zako hawataona jeneza lako wala kukunulilia sanda yakoIna katisha tamaa kuona chawa anakuambia huna pesa wala akili wakati unapambana , ila mmeyataka wenyewe mkuuu huko social media mnapenda kuwafuatilia acha mpigwe za uso mmaee🤣
Basi mtumishi,inatosha usijibu .Ndio mkuu Zimbabwe wengi wao ni Mashona na hata lugha yao ya nyumban ni kishona japo kuwa wanaongea kimalikia , kama walivyo wamalawi wao ni wachewa na wanaongea kichewa kama lugha mama
Sasa mkuu mimi ni mtumish huyo mtoto wa kishona unamtaka kwa ajili ya NDOA au kwa ajili ya kuzini naye tu?
Tuanzie hapo kwanza
Ahaaaa kipindi cha nyuma mimi nilikataaga kuwa na wakwe iringa au mbeya, maana njia ilikuwa ni mbovu sana enzi hizoBasi mtumishi,inatosha usijibu .
Ndoa wapi ndugu yangu,Niwe na ukwe Zimbabwe nitaweza kweli kwenda huko mara kwa mara kweli?
Ni Mambo ya kuangalia hayo, unatokea msiba unaanza kuwaza utafika vipi huko...kuoa ni mkoa mmoja au mkoa jirani kama uchumi wako ni wa kawaidaAhaaaa kipindi cha nyuma mimi nilikataaga kuwa na wakwe iringa au mbeya, maana njia ilikuwa ni mbovu sana enzi hizo
Superwomen hapa huwezi kuwasikia wakisaidia wenzao.This is happening in Zimbabwe 🇿🇼
View attachment 3246604
Alisema Twende au Anakwenda?Roma alishasema twende Zimbabwe