Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
So utasafiri na corns na maharage hadi Zim?
Nauli ya kutoka Tz mpaka Zimbabwe ni sh ngapi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nauli ya kutoka Tz mpaka Zimbabwe ni sh ngapi mkuu
Yataharibikia njiani kaka unless una drive mwenyewe to Zim or else, nashauri nenda kavushe mmoja hadi bongo, hi itakua rahisi.Nitachukua pale Mbeya mkuu
Wanawake wa sampuli hiyo ukishampa uhakika wa kula milo mitatu na kushiba pamoja na choo cha ndani basi ni automatically umeshamkamata! Funga na decoder ya Azam basiYataharibikia njiani kaka unless una drive mwenyewe to Zim or else, nashauri nenda kavushe mmoja hadi bongo, hi itakua rahisi.
Back to the topic; kuna jamaa mmoja kule Twitter (X ) amefanya demo ya namna hi bongo, ali test malaya wa kwanza, kamuomba show lakini hana hela, yule malaya alimtolea nje jamaa alikua ana bajeti ya Tsh 50k ya kumpa tu malaya bila kupata huduma kwake, baada ya kushindana na wa kwanza, alikwenda kwa mwingine, yule baada ya kumpiga sound za hapa na pale kwamba hana hela, binti yule akamuiza, "sawa huna hela, hata chakula pia hauna? Nataka chakula tu" Mwamba alimpa ile 50 kiroho safi bil kumuomba utelezi. So hili tatizo lipo hata hapa kwetu, sio Zim pekee yake, issue yenyewe haina hata wiki
Kuna mjuba mmoja ni dereva wa malori yeye anadai kuwa bi mdada anakuwa na magunia kama mawili ambayo ukimaliza shughuli unampimia debe lake anaondoka nalo 😔 hawataki chips mayaiDunia ya sasa hii biashara sio ngeni sana kwa macho na masikio ya watu.
Inasaidia sana kwa watu ambao hawana mda wa kufukuzia manzi wiki nzima na usumbufu wa kutuma na yakutolea.
Lakini, kwa hii sasa INAFIKILISHA.Yaan payment inakuaje.
1;kila ukimaliza kimoja unapima debe au gunia la mahindi.
2;Una pima debe au gunia la mahindi,unajipigia tu adi unachoka.
Kweli Bata trade inarudi tena.
Mwamba unawajua sana hawa wadudu wallahWanawake wa sampuli hiyo ukishampa uhakika wa kula milo mitatu na kushiba pamoja na choo cha ndani basi ni automatically umeshamkamata! Funga na decoder ya Azam basi
Du, nomaKuna mjuba mmoja ni dereva wa malori yeye anadai kuwa bi mdada anakuwa na magunia kama mawili ambayo ukimaliza shughuli unampimia debe lake anaondoka nalo 😔 hawataki chips mayai
Huko tuendako madada wa hapa mjini nao wataanza kupokea mgao pia kwani wanaume sasa hawataki tena kuhonga wanawake, huyu Azizi Ki sijuwi alipatwa na ujinga gani?This is happening in Zimbabwe 🇿🇼
View attachment 3246604
Watu kutoka Burkina Fasso hawataki kusikia la mkuu! Wao kuvunja guu ni kitu cha kawaidaHuko tuendako madada wa hapa mjini nao wataanza kupokea mgao pia kwani wanaume sasa hawataki tena kuhonga wanawake, huyu Azizi Ki sijuwi alipatwa na ujinga gani?
This is happening in Zimbabwe 🇿🇼
View attachment 3246604
Tukutane magufuri stendi kuna gari zinapita huko mkuu.Nina gunia Kama 50 za mahindi, wanangu kina mzabzab, Mad Max, Vishu Mtata, Half american, Mpaji Mungu fanyeni Kama mna kohoa tuibuke mpakani🤣😂.
Mchawi karanga mbichi tu.
Sio pale rombo Kama una elekea ubungoTukutane magufuri stendi kuna gari zinapita huko mkuu.
Hata pale fresh ila magufuli ndio zipo kibaoSio pale rombo Kama una elekea ubungo
Baridi mwanetuHata pale fresh ila magufuli ndio zipo kibao