bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Tungetulia hawa jamaa wanachapika tuu sema vijana hawana utulivuso kidogo sana tu tunapigwa 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tungetulia hawa jamaa wanachapika tuu sema vijana hawana utulivuso kidogo sana tu tunapigwa 3
Ndio ipi hiyo??bora tungepeleka kwinstars
Clear chance Sammata anampa kipa wao wametengeneza nafasi moja wamefungaHapa ni kukosa utulivu tu ila hawa Zimbabwe wanafungika kabisa
Kwinsstars si walialikwa Cameroon vp matokeo ya michezo yao?bora tungepeleka kwinstars
Walipigwa 2-0Kwinsstars si walialikwa Cameroon vp matokeo ya michezo yao?
Madogo nao jana wamechapwa kamoja uko korea(Serengeti boys)
Watakua wanatumia TTC-L hao ndo maana hamna mawasilianoHukuna mawasiliano kwenye foward ya Taifa Stars, alaf Samatta anapoteza sana pass, sijui ni uchovu ama ni nini.
Kweli mkuu sijajua kocha amemchezesha sababu anacheza nje ya nchi au yuko kwenye kiwango kizuriHukuna mawasiliano kwenye foward ya Taifa Stars, alaf Samatta anapoteza sana pass, sijui ni uchovu ama ni nini.
Thanks kwa taarifaWalipigwa 2-0
Hahahaa mbavu zangu mkuu sio radio call kabisa mpaka useme ovaWatakua wanatumia TTC-L hao ndo maana hamna mawasiliano
Dah hivi timu zinajichagulia icheze na IPI au ikoje kweny karenda za FifaNdio ipi hiyo??
Na wewe una maanisha ZBC ya Zimbabwe? Yeye ndo ameitaja, maana usijekuwa una maana ya hii ya Zanzibar.Acha uongo zbc hawaonyeshi bana