Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumuombe radhi mzee kabla hajafa atengue kauli yake. Inauma sana kila MTU anajibondea tu dah!Tungetulia hawa jamaa wanachapika tuu sema vijana hawana utulivu
Naona zile 7 tulizopigwa na Algeria zinakuja tenahili litimu linaudhi sana
Its time to hire foreign coachhili litimu linaudhi sana
Lets wait and seeTaifa stars watarudisha zote hizo subiri muone
Its time to hire foreign coach
hii ni aibu....kuna haja ya kutembeza bakora kwa vijana wakirudi!Mara 3 kwa siku...dk 59 3-0
Daa kazi iko aiseeTukajifunze kunyoa
Haa haa dah umenichekesha japo inauma kila siku sisi tu.Watakua wanatumia TTC-L hao ndo maana hamna mawasiliano
Sammata naye hayuko kwenye kiwango kabisaVijana wetu wamezidiwa kweli kweli, ubovu umehamia kwenye beki line yetu sasa.
Sijui Mkwasa anasubiri nin kumtoa Msuva na Maguri,