bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
Una mawazo kma yangu huyu hamna kitu ana tuzingua tuHuyu Boniphace Mkwasa afukuzwe.
Haiwezekani tokea Maximo au Paulson watoke hutupigi hatua!!!
Africa hatuna uwezo wa kufundishana mpira. Tukubali tu wazungu watufunze.
Huyu Mkwasa ndio bureeee!!!@