Zimbabwe Vs Tanzania : Full Time Zimbabwe 3 Tanzania 0

sisi ni hodari wa jambo gani jingine zaidi ya umbea na siasa?
pamoja na hali inayosadikika kuwa mbaya kiuchumi bado wanaweza kutudhalilisha. this is so.......
 
Hivi stars walilipiwa nauli na wenyeji wao au walijilipia kwenda huko!?
 
Sio commitment tu...timu inacheza kitimu..sisi huyu kocha uwezo wake ni kufundisha watoto wadogo ambao hawana mashindano yoyote..hatuna kocha wa kufundisha mfumo..kila mchezaji anacheza kivyake..
Umeongea kweli mkuu timu iko dis organized kabisa kila mchezaji yuko kivyake

Mchambuzi anasema holding a ball for a long time ni tatizo kubwa baada ya One touch football
 
Nategemea kati ya leo au kesho Mkwasa kutangaza kujiuzulu kufundisha taifa stars
 
Mmh!Aibu sana hii,wangepeleka ile timu ya under 21,wapate uzoefu.Hawa mafaza mpira umewashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…