Mipangomingi
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,713
- 2,062
Funga hao watanganyika 5-0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
3-0 final resultNgap Ngap wakuu?
Limekataliwa moja
Umeongea kweli mkuu timu iko dis organized kabisa kila mchezaji yuko kivyakeSio commitment tu...timu inacheza kitimu..sisi huyu kocha uwezo wake ni kufundisha watoto wadogo ambao hawana mashindano yoyote..hatuna kocha wa kufundisha mfumo..kila mchezaji anacheza kivyake..
Daa aisee nimeshindwa kuelewa mfumoHivi timu ilikuwa inatumia mfumo upi
Yupo busy na sheria ya kubana wapinzani soon atarudiserikali haina mpango na michezo, waziri wa michezo anafanya nini