Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Unaota niniHapa ni kukosa utulivu tu ila hawa Zimbabwe wanafungika kabisa
Mi nilikuwa nashangaa mtangazaji anataja akina Erasto NyomiMkwasa ana matatizo makubwa linapokuja swala la uteuzi wa wachezaji! na hili ndiyo linalo tu- cost siku zote, over!
Mkwasa kma MugabeNategemea kati ya leo au kesho Mkwasa kutangaza kujiuzulu kufundisha taifa stars
Diamond mrundiInabidi tumuheshimu sana wakuitwa Diamond platnumz, maana ndo mtu pekee anaetufanya tupate heshima huko nje timu ya hovyo kabisa hii.
Si ndiyo kabbadi nayo tumechapwa na kenyaMCHEZO WA KABADDI UNATUHUSU!