Zimbabwe Vs Tanzania : Full Time Zimbabwe 3 Tanzania 0

Zimbabwe Vs Tanzania : Full Time Zimbabwe 3 Tanzania 0

Asee mkwasa hakuna cha maana alichoifanyia taifa stars na watanzania kiujumla. Overall anabebwa na kale ka kauli ka"uzawa" tu.
 
Timu Bomu kabisa unaacha wachezaji unajaza mazee.Timu yetu inatuharibia tu,bora tuanzishe Mpira wa magazeti
 
Mnamuonea aibu Mkwasa kwakuwa ni mwenzenu? wangekuwa makocha wa kigeni ingekuwa kelele nyiingi. Hafai hata kidogo aende zake. Tangu kapewa timu sijui kashinda mchezo mmoja tu. . aende zake Yanga huku kwenye national team si size yake
 
Mkwasa ana matatizo makubwa linapokuja swala la uteuzi wa wachezaji! na hili ndiyo linalo tu- cost siku zote, over!
 
Nakumbuka alipokuja mfalme bora tungempa vijana akatulelee ije kuwa timu ya taifa isiyo na machungu kama hii
 
Tuna ugonjwa wa magolithiobia (Brazil 0-german 7)
 
mhh hawa jamaa utadhani hawafanyi mazoezi wao kila mechi ni kufungwa tuu tunashindwa hata na Cape Verde ina idadi ya watu hawazidi laki sita..sisi milioni arobain na tano hamna kitu..kuna haja ya kubadili mfumo wa uteuzi wa wachezaji hata mtaani chukueni ikiwezekana Timu nzima sio hao wanafeli kila siku mnawachagua tena..
 
Ukimtoa Juma Abdul beki mwingine mzuri namba mbili ni Salumu Kimenya wa prisons... Kiungo Rafael daudi Alpha mbeya city na wengine wengi.. Mechi inayokuja hakuna kuita wachezaji wa Yanga. Simba na Azam.. Kocha chagua wachezaji wa mikoani na Zanzibar tu.... La sivyo tunang'oa viti
 
TFF wanamlipa Mkwasa pesa zake kwa wakati,? au ndio blah blah....!!!
 
Back
Top Bottom