Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
TAYARI
Tumsifu Yesu KristoWicknell Chivayo And Lulu Muteke Dead After Marondera Helicopter Crash
Noma kweliKwanzia kesho bendera nusu mlingoti
Mama wa taifa akiwa bado yuko eda...jamaake mwingine nae chali!Chivayo na mke wake wafariki dunia in helicopter crush
Hivi taarifa zilishamfikia yule aliyeko eda?Mungu fundi
Ok sawa, vipi kuhusu habari yenyewe??Kichwa cha habari kimekaa kishambenga
Dili na viongozi wa Afrika.Duuh, kwani huyu chanzo cha utajiri wake ni nini?