Kasongo yeeyee
JF-Expert Member
- Oct 14, 2024
- 1,201
- 2,705
Tumekuwa double yatima!
MAJOR BREAKING: Millionaire tycoon Wicknell Chivayo has died after a helicopter crash in Marondera. His wife Lucy Muteke among the 6 victims. There were no survivors.A police statement said: “The ZRP confirms a plane crash in Marondera Rural area at 1700 hours. The aircraft had 6 occupants.”
View attachment 3681327
Pole mama sa100 kwa kuondokewa na mme wako.
Eda nyingine tena kwa sa100MAJOR BREAKING: Millionaire tycoon Wicknell Chivayo has died after a helicopter crash in Marondera. His wife Lucy Muteke among the 6 victims. There were no survivors.A police statement said: “The ZRP confirms a plane crash in Marondera Rural area at 1700 hours. The aircraft had 6 occupants.”
View attachment 3681327
Sijui, ila ht km amekufa kwanini watu wafurahie, tena siyo raia wa nchi yetuKwani kafa?
Jamaa kaacha net worth ya $100MMaisha haya inatakiwa tuishi kwa unyenyekevu sana, unaweza ukamiliki majeshi, mapesa mengi na ukawa na uwezo wa kufanya kila kitu lakini PUMZI haina hati miliki
Damu za watu zimeanza kumuandama, naona wanapukutika pole pole.MAJOR BREAKING: Millionaire tycoon Wicknell Chivayo has died after a helicopter crash in Marondera. His wife Lucy Muteke among the 6 victims. There were no survivors.A police statement said: “The ZRP confirms a plane crash in Marondera Rural area at 1700 hours. The aircraft had 6 occupants.”
View attachment 3681327
Serikali ya Zimbabwe (kupitia msemaji mkuu Nick Mangwana) imethibitisha kuwa leo jioni, Septemba 30, 2026, helikopta iliyokuwa na watu 6 (mfanyabiashara mashuhuri, abiria wengine, na marubani wawili) imeanguka katika eneo la Marondera na hakuna aliyepona.
Mamlaka na vyombo vya habari nchini Zimbabwe na kimataifa vimethibitisha kuwa mfanyabiashara huyo ni Wicknell Chivayo, na alikuwa ameambatana na mke wake (Lucy "Lulu" Muteke) pamoja na watu wengine waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo.
Hata yule wa Zim juzi kati hapa kulikuwa na habari ya bonge kumpa zawadi ya dola 500k mwanasheria aliyekuwa kwenye kesi ya kupinga rais wa Zim kujiongezea muda wa kukaa madarakaniKilio kwa Ruto na yule Bibie