peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Eda ataruhusiwa kutoka kwenda Zimbabwe kumzika?,
Afe tu hakuna atakaye dumu daima
Kama vile watu wa magu walivyopukutika kabala ya yeye mwenyewe mauti kumfikaDamu za watu zimeanza kumuandama, naona wanapukutika pole pole.
Marehemu wapumzishwe wanapostahili 🪦
Wewe wasema.Kama vile watu wa magu walivyopukutika kabala ya yeye mwenyewe mauti kumfika
Hiyo Susan Mutami alitisha sana.
Haaaaaa amefariki Billionea aa sasa itakuaje kwenye viunga vya jiji la Nairobi,Dar,harare KampalaMAJOR BREAKING: Millionaire tycoon Wicknell Chivayo has died after a helicopter crash in Marondera. His wife Lucy Muteke among the 6 victims. There were no survivors.A police statement said: “The ZRP confirms a plane crash in Marondera Rural area at 1700 hours. The aircraft had 6 occupants.”
View attachment 3681327