TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, na mke wake, Lucy “Lulu” Muteke, wamefariki dunia katika ajali ya helikopta iliyotokea leo, Septemba 30, 2026, katika eneo la Marondera, mashariki mwa Harare, Zimbabwe.

Serikali ya Zimbabwe, kupitia Msemaji Mkuu wa Serikali, Nick Mangwana, imethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema kuwa hakukuwa na manusura. Taarifa za awali zinaeleza kuwa watu kadhaa walikuwa ndani ya helikopta hiyo wakati ilipoanguka.

Chivayo alikuwa mfanyabiashara mwenye ushawishi mkubwa nchini Zimbabwe na alifahamika pia kwa ukaribu wake na viongozi na watu mashuhuri barani Afrika, pamoja na shughuli zake za kutoa misaada na michango mbalimbali. Ripoti za hivi karibuni zimeeleza kuhusu uhusiano wake wa karibu na viongozi wa kisiasa na kidini nchini Zimbabwe.
FB_IMG_1790795348565.jpg
 
MAJOR BREAKING: Millionaire tycoon Wicknell Chivayo has died after a helicopter crash in Marondera. His wife Lucy Muteke among the 6 victims. There were no survivors.A police statement said: “The ZRP confirms a plane crash in Marondera Rural area at 1700 hours. The aircraft had 6 occupants.”

View attachment 3681327
Tumefiwa na mchepuko wa mama. Sasa anayefuata ni Abduli
 
Mimi sasa na mawazo ya ujasusi uchwara ule wa ki jf sasa naruka sarakasi kama hivi :-
Katika utekelezaji wa "original plan" the state wanaanzia mbali mno tena sana,wakapiga kete mwenza ikalala Chali,wakapiga mwanamama mashuhuri mshauri mkuu wa kike alieachwa mjane akiwa mdogo kwa umri coz waligundua ana influence na kete kuu iliyokalia kiti!

Baada ya hapo wa ka fix ajali kwa mfadhili mkuu w mwenye kiti aliekua akiingia kitalani na kukunja nne kama Big BOSS!

Kete zitaendelea kuliwa Hadi kete kuu!

Huku kijana aliepokea usadizi anatema cheche za kubana matumizi ili kusaidia upatikanaji wa ajira kwa vijana!akijiandaa kukalia kiti kikuu!!ni zamu yetu kina matonya sasa!

Mawazo uchwara ya mwana jf akichangia uchumi wa mbs!!
Kuna mdau jukwaani Leo alileta mada kwamba hatimaye ameweza kuingia JF bila VPN. Baada ya muda mfupi habari ya Chiva ikarindima jukwaani.
 
Hilo lijambazi kibonge mafuta limeshiriki madili ya silaha haramu za kivita na huenda hata yale makontena yaliyotumika kuua watanganyika yalikua nyuma yake maana lilikua halikauki ikulu na bi kidude hadi JF ikapigwa ban kwa mapicha yao ya ajabu ajabu.

Good riddance to bad rubbish.
 
Flydubai nayo imetua saudia kwa dharura
Haya mambo! Kuna uzi humu kwamba ndege from Dar to Dodoma imeshindwa kupaa na kurejea uwanjani, fortunately salama. Coincidentally, imetokea Zimbabwe na kuua billionaire maarufu.

Ewe Mungu nini haya mambo? Na maana yake ni nini? Tupe roho ya kuzitambua nyakati na kuzihesabu siku zetu. Amen.
 
Back
Top Bottom