Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,607
- 9,171
Itasaidia kuiga biashara yakeItakusaidia nini kaka? Wewe elewa tu alikuwa tajiri - he is no more!
Itasaidia kuiga biashara yakeItakusaidia nini kaka? Wewe elewa tu alikuwa tajiri - he is no more!
Umenikumbusha nilibakiza ki wine changu...Jamani eda ya pili? 😥😹
Hilo dubwasha limechangia ndugu zetu kufa bora na lenyewe lilivyokufa..!!
Nilikua nna mpango wa kulala acha nitafute kitu kwenye counter yangu nienjoy kidogo..! 🍾🥂
Kwetu si tuna shereheeeeeee 🍻
😂😂😂Miezi minne na siku kumi plus miezi minne na siku kumi
Kwa kitambi kile hata akikohoa tu helikopta inapoteza dira.😂😂😂 waja mnachekesha, nimecheka km mwehu hapa.
Bi chura anaupiga mwiingi kwenye misiba na vifo!Awamu hii mama kapigwa KO.
Sasa sijui atakumbatiwa na nani tena?Misiba miwili mikubwa ndani ya miezi michache
Rest in peace Pendesheee Chivayo.. Mutu ya makumbato,, kipenzi ya mama yetu.MAJOR BREAKING: Millionaire tycoon Wicknell Chivayo has died after a helicopter crash in Marondera. His wife Lucy Muteke among the 6 victims. There were no survivors.A police statement said: “The ZRP confirms a plane crash in Marondera Rural area at 1700 hours. The aircraft had 6 occupants.”
View attachment 3681327