Muuza Majeneza Used
Member
- Aug 17, 2026
- 54
- 122
Huyu bonge SI ndo chanzo cha kufungiwa kwa JF?
Kuna watu mko mbele ya muda kama Mwamba Tundu Lissu!Sasa sijui atakumbatiwa na nani tena?
Mtumbo mkubwaaaa 😁Mimi nilishaanza kufikiri kafariki kwa ugonjwa, nikijisemea "Si kwa tumbo lilee".
😂😂😂Bamdogo jamani 😭😭😭😭
September to rememberSerikali ya Zimbabwe (kupitia msemaji mkuu Nick Mangwana) imethibitisha kuwa leo jioni, Septemba 30, 2026, helikopta iliyokuwa na watu 6 (mfanyabiashara mashuhuri, abiria wengine, na marubani wawili) imeanguka katika eneo la Marondera na hakuna aliyepona.
Mamlaka na vyombo vya habari nchini Zimbabwe na kimataifa vimethibitisha kuwa mfanyabiashara huyo ni Wicknell Chivayo, na alikuwa ameambatana na mke wake (Lucy "Lulu" Muteke) pamoja na watu wengine waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo.
Chivayo alikuwa mfanyabiashara mwenye ushawishi mkubwa nchini Zimbabwe na alifahamika pia kwa ukaribu wake na viongozi na watu mashuhuri barani Afrika, pamoja na shughuli zake za kutoa misaada na michango mbalimbali. Ripoti za hivi karibuni zimeeleza kuhusu uhusiano wake wa karibu na viongozi wa kisiasa na kidini nchini Zimbabwe.
Soma Pia:
Rambirambi inatumwa.Limejiondokea. Nimethibitisha ni kweli limefariki dunia. Pole kwa swahiba wake Samia Suluhu Hasan
Robert Heriel MtibeliMAJOR BREAKING: Millionaire tycoon Wicknell Chivayo has died after a helicopter crash in Marondera. His wife Lucy Muteke among the 6 victims. There were no survivors.A police statement said: “The ZRP confirms a plane crash in Marondera Rural area at 1700 hours. The aircraft had 6 occupants.”
View attachment 3681327
😀😀😀😀😀 daahKweli Maisha ni mafupi Bimkubwa mkorogeeni glucose au mpeni vile vitu vyake vikali vikali atoe uchungu! Dunia imemlabua shavu lake la kulia na sasa la kushoto nalo!
lamo upo? nimemiss maubuyu 😂Baba yetu wa tatu naye
Nimempigia boda aniletee mzigo wa kutosha maana stock ya pombe imepwaya..!!
Naombeleza kifo cha Bamdogo tipwatipwa..!!
Kuna target inatafutwa....Haya mambo! Kuna uzi humu kwamba ndege from Dar to Dodoma imeshindwa kupaa na kurejea uwanjani, fortunately salama. Coincidentally, imetokea Zimbabwe na kuua billionaire maarufu.
Ewe Mungu nini haya mambo? Na maana yake ni nini? Tupe roho ya kuzitambua nyakati na kuzihesabu siku zetu. Amen.
Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, na mke wake, Lucy “Lulu” Muteke, wamefariki dunia katika ajali ya helikopta iliyotokea leo, Septemba 30, 2026, katika eneo la Marondera, mashariki mwa Harare, Zimbabwe.
Serikali ya Zimbabwe, kupitia Msemaji Mkuu wa Serikali, Nick Mangwana, imethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema kuwa hakukuwa na manusura. Taarifa za awali zinaeleza kuwa watu kadhaa walikuwa ndani ya helikopta hiyo wakati ilipoanguka.
Chivayo alikuwa mfanyabiashara mwenye ushawishi mkubwa nchini Zimbabwe na alifahamika pia kwa ukaribu wake na viongozi na watu mashuhuri barani Afrika, pamoja na shughuli zake za kutoa misaada na michango mbalimbali. Ripoti za hivi karibuni zimeeleza kuhusu uhusiano wake wa karibu na viongozi wa kisiasa na kidini nchini Zimbabwe.
View attachment 3681360
hii ni on target kabisa ndugu.Of target nyingine aseee.... Ila mpk October 29... Kuna jambo linakuja.... Machawa baba yenu kanyooka huyo!!.
Alikuwa mfanyabiashara wa nini ?Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, na mke wake, Lucy “Lulu” Muteke, wamefariki dunia katika ajali ya helikopta iliyotokea leo, Septemba 30, 2026, katika eneo la Marondera, mashariki mwa Harare, Zimbabwe.